Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,122 Reaction score 52,864 Jan 10, 2025 #1 Wenye uzoefu tunaomba mwongozo Naona wako cheap January hii bima ya afya muhimu wadau Watoto wa kiume WA 2000 naomba msije hapa.
Wenye uzoefu tunaomba mwongozo Naona wako cheap January hii bima ya afya muhimu wadau Watoto wa kiume WA 2000 naomba msije hapa.
Sajo Platinum Member Joined Nov 8, 2010 Posts 4,447 Reaction score 7,946 Jan 10, 2025 #2 Hizi bima zao si ni kwa ajili ya fidia ya kuugua na kulazwa, sio kwa ajili ya matibabu
Koffi Annan JF-Expert Member Joined Dec 23, 2018 Posts 2,504 Reaction score 7,621 Jan 10, 2025 #3 Mimi ni mtoto wa elfu mbili ila hakuna binadamu mwenye akili timamu unaweza kujiunga na bima ya afya ya mtandao wa simuπ π π π π
Mimi ni mtoto wa elfu mbili ila hakuna binadamu mwenye akili timamu unaweza kujiunga na bima ya afya ya mtandao wa simuπ π π π π
Chura Platinum Member Joined Sep 22, 2009 Posts 1,425 Reaction score 2,528 Jan 10, 2025 #4 Kwanza Agakhan waliikataa , ngoja wengine waongeze
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,122 Reaction score 52,864 Jan 10, 2025 Thread starter #5 sajo said: Hizi bima zao si ni kwa ajili ya fidia ya kuugua na kulazwa, sio kwa ajili ya matibabu Click to expand... Eeeh yaani ukiumwa unalipwa wewe na sio kulipiwa matibabu??
sajo said: Hizi bima zao si ni kwa ajili ya fidia ya kuugua na kulazwa, sio kwa ajili ya matibabu Click to expand... Eeeh yaani ukiumwa unalipwa wewe na sio kulipiwa matibabu??
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,122 Reaction score 52,864 Jan 10, 2025 Thread starter #6 Chura said: Kwanza Agakhan waliikataa , ngoja wengine waongeze Click to expand... Bima ya elfu 70 ukatibiwe aga khan kweli??
Chura said: Kwanza Agakhan waliikataa , ngoja wengine waongeze Click to expand... Bima ya elfu 70 ukatibiwe aga khan kweli??
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,122 Reaction score 52,864 Jan 10, 2025 Thread starter #7 Koffi Annan said: Mimi ni mtoto wa elfu mbili ila hakuna binadamu mwenye akili timamu unaweza kujiunga na bima ya afya ya mtandao wa simuπ π π π π Click to expand... Watoto wa 2000 mihemko.aloweka hyo bima unadhani Hana akili?
Koffi Annan said: Mimi ni mtoto wa elfu mbili ila hakuna binadamu mwenye akili timamu unaweza kujiunga na bima ya afya ya mtandao wa simuπ π π π π Click to expand... Watoto wa 2000 mihemko.aloweka hyo bima unadhani Hana akili?
Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 5,172 Reaction score 6,465 Jan 10, 2025 #8 Miss Natafuta said: Wenye uzoefu tunaomba mwongozo Naona wako cheap January hii bima ya afya muhimu wadau Watoto wa kiume WA 2000 naomba msije hapa. Click to expand... FATA KANUNI ULIZA MAMLAKA HUSIKA.............
Miss Natafuta said: Wenye uzoefu tunaomba mwongozo Naona wako cheap January hii bima ya afya muhimu wadau Watoto wa kiume WA 2000 naomba msije hapa. Click to expand... FATA KANUNI ULIZA MAMLAKA HUSIKA.............
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,122 Reaction score 52,864 Jan 10, 2025 Thread starter #9 Lexus SUV said: FATA KANUNI ULIZA MAMLAKA HUSIKA............. Click to expand... Pita hivi