Habari, kama hela haitoshi nunua easyjtag box na isp adpter ya emmc tu. Adapter socket za ufs na emmc utanunua kwa wakati mwingine. Ila kama lengo ni kufanya kazi kwa isp pekee adapter inayosupport isp za ufs ni bga254, ukitaka isp pekee ambayo haina socket ya ufs unaweza ukanunua ambayo haina encrypted chip ukashindwa kufanya kazi.Nlikua nnahitaji ninunue JTAG but kwa kua bubget yangu ndogo nlitaka nichukue bila ufs socket lakini nna swali kwa WENYE kutumia JTAG.Hivi nikiwa na hiyo package ambayo Haina ufs socket nitaweza kufanya kazi za simu za ufs kwa isp au mpk ninunue socket ya ufs?
Wataalam wanahitajikaNlikua nnahitaji ninunue JTAG but kwa kua bubget yangu ndogo nlitaka nichukue bila ufs socket lakini nna swali kwa WENYE kutumia JTAG.Hivi nikiwa na hiyo package ambayo Haina ufs socket nitaweza kufanya kazi za simu za ufs kwa isp au mpk ninunue socket ya ufs?