Bra-joe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,886
- 1,569
Hata hata maelezo yako bado yanaonyesha wakulaumiwa ni mama yako mzazi. Ataachaje kazi wakati anamtoto mdogo kwa sababu za figisu za walimwengu? Ilitakiwa aambatane na wewe, ulale atakapo lala na ule atakachokula.mkuu mama hana makosa yoyote ni kwa vile aliacha kazi kutokana na figisu za walimwengu nakumbuka nikiwa std 2 akaona ni bora niishi na bibi kwa huku nikiendelea kusoma na huku yeye anapambana kutafta kazi ingne. Hivyo ni bora ungexema wa kumlaum zaidi ni baba ambaye hakutoa ushrkiano toka nazaliwa mpaka nahtim high school