[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] CHAROMBATA(CHAMA CHA ROHO MBAYA TZ)
Kuna mtu katoa thread kuhusu kuwa na roho mbaya. naweza sema hayuko mbali sana na mimi japo kuna tofauti kidogo mi cfurahi sana kifo labda niwe nimethibitisha mwenyewe kuwa aliefariki ni hakuwa mtu mwema
lakini pia huwa cpendi kubabaishwa na nina hasira za karibu sana. Maadui wangu wakubwa ni waongo, wanafiki na wanaojiproud
Huwa nafikiri labda kwa kuwa nimekulia ktk hali ya mateso sana tena kutoka kwa bibi yangu mzaa mama pamoja na mama zangu wadogo. walinitesa na kunibagua sana kitu kilichopelekea kutohitimu elim ya msng
kwa msaada wa mama mzazi pamoja na step father japo nae alionesha kunibagua mwanzoni ila kwa kwa kuwa mama alionesha uimara wa kunisimamia niliweza kuendelea na masomo na nashukuru mungu nilihtm kdato cha sita na hv sasa nina kazi ambayo inanifanya nipeleke mkono knywani bila kumtegemea mtu yeyote
Baba yeye hana time na mimi pamoja na juhd za kumtafuta ili niwe karibu nae wakati ndo naingia fom five lakini hakuonesha ushirikiano wala upendo kwangu hakunisaidia kwa lolote. hivyo nimeamua kumpotezea kama vp tutaonana tu peponi endapo hatanihitaji tena
Simwamini mwanamke yoyote isipokuwa mama yangu tu. nampenda sana mama lakini nawachukia sana wanawake wengne
nina mtoto mmoja ila bado cjaoa na hi yote ni kwa sababu ya kutowaamini wanawake
kila ninaeanzisha nae mahusiano nikikuta ana akiri ya kiwaruwaru huwa cjiulizi mara mbili mbili nampiga chn mara moja
Naona bora niishi peke yangu kuliko kuwa na mtu atakaenipotezea furaha yangu
Mtu yoyote akionesha element za kunimistreat huwa namkwepa hata kbla hajatimza adhima yake, sioni shida kutoongea na mbaya wangu hata kama tunaish nyumba moja
so brother hauko peke yako tupo wengi na hii yote ni kwa sababu ya walimwengu.
Hongera sana mkuu, Mimi nikishamuona mtu flani nisnitch au ana mambo yakijinga huwa sinaga mda na akija tuuu lazima tuzikunje yani.
Pia sijawaji vunja misimamo yangu kwa shinikizo kutoka kwa watu fulani.
Mkuu una raha sana.
Mimi saivi nina hasira na anti yani asipoacha uchawi wake lazima nitamtoa sadaka.
Na sasa rafiki yangu wa karibu sana niliye nae ni jamiiforum pekee
Unafahamu kusahau wewe? kwanza embi niambie sumu ya hasira inatolewaje kichwani.Naamini ukitaka uishi vizuri na kwa amani, ni kusahau mabaya uliyowahi tendewa na kuendelea kufurahia mafanikio yako. Je, wewe haujawahi kuwatendea vibaya watu maishani?
Kuna mtu katoa thread kuhusu kuwa na roho mbaya. naweza sema hayuko mbali sana na mimi japo kuna tofauti kidogo mi cfurahi sana kifo labda niwe nimethibitisha mwenyewe kuwa aliefariki ni hakuwa mtu mwema
lakini pia huwa cpendi kubabaishwa na nina hasira za karibu sana. Maadui wangu wakubwa ni waongo, wanafiki na wanaojiproud
Huwa nafikiri labda kwa kuwa nimekulia ktk hali ya mateso sana tena kutoka kwa bibi yangu mzaa mama pamoja na mama zangu wadogo. walinitesa na kunibagua sana kitu kilichopelekea kutohitimu elim ya msng
kwa msaada wa mama mzazi pamoja na step father japo nae alionesha kunibagua mwanzoni ila kwa kwa kuwa mama alionesha uimara wa kunisimamia niliweza kuendelea na masomo na nashukuru mungu nilihtm kdato cha sita na hv sasa nina kazi ambayo inanifanya nipeleke mkono knywani bila kumtegemea mtu yeyote
Baba yeye hana time na mimi pamoja na juhd za kumtafuta ili niwe karibu nae wakati ndo naingia fom five lakini hakuonesha ushirikiano wala upendo kwangu hakunisaidia kwa lolote. hivyo nimeamua kumpotezea kama vp tutaonana tu peponi endapo hatanihitaji tena
Simwamini mwanamke yoyote isipokuwa mama yangu tu. nampenda sana mama lakini nawachukia sana wanawake wengne
nina mtoto mmoja ila bado cjaoa na hi yote ni kwa sababu ya kutowaamini wanawake
kila ninaeanzisha nae mahusiano nikikuta ana akiri ya kiwaruwaru huwa cjiulizi mara mbili mbili nampiga chn mara moja
Naona bora niishi peke yangu kuliko kuwa na mtu atakaenipotezea furaha yangu
Mtu yoyote akionesha element za kunimistreat huwa namkwepa hata kbla hajatimza adhima yake, sioni shida kutoongea na mbaya wangu hata kama tunaish nyumba moja
so brother hauko peke yako tupo wengi na hii yote ni kwa sababu ya walimwengu.
Na sasa rafiki yangu wa karibu sana niliye nae ni jamiiforum pekee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]Yaani hata shetani hana roho mbaya ndiyo maana ana kampani kubwa sana.
Kwa mtt waliezaa nae jamaa anampa mtiririko wa maisha alioyaishi ,kwa haraka ni mwendelezo wa kizazi kilekileKwanza badili jina lako ili umaanishe jinsi ulivyo.
Pili, kuwa na roho mbaya sio sifa kiongozi, unaweza kudhani unawakomoa unaowafanyia roho mbaya ila kwa ulivyojielezea hapa ni kama unajikomoa mwenyewe.
Angalia sasa umezaa Mtoto ambae mama yake humtaki, umeshawahi kujiuliza maisha ya baadae ya huyo Mtoto?
Samehe yaliyopita uishi kwa amani rafiki. Amani ya moyo hujengwa na mwenye moyo.
Badili fikra acha kuishi kama uko peke yako duniani humu
Dah sawa brother pamoja ...nipo kama wewe tu. Ila tofauti mtoto tu mimi sinaKuna mtu katoa thread kuhusu kuwa na roho mbaya. naweza sema hayuko mbali sana na mimi japo kuna tofauti kidogo mi cfurahi sana kifo labda niwe nimethibitisha mwenyewe kuwa aliefariki ni hakuwa mtu mwema
lakini pia huwa cpendi kubabaishwa na nina hasira za karibu sana. Maadui wangu wakubwa ni waongo, wanafiki na wanaojiproud
Huwa nafikiri labda kwa kuwa nimekulia ktk hali ya mateso sana tena kutoka kwa bibi yangu mzaa mama pamoja na mama zangu wadogo. walinitesa na kunibagua sana kitu kilichopelekea kutohitimu elim ya msng
kwa msaada wa mama mzazi pamoja na step father japo nae alionesha kunibagua mwanzoni ila kwa kwa kuwa mama alionesha uimara wa kunisimamia niliweza kuendelea na masomo na nashukuru mungu nilihtm kdato cha sita na hv sasa nina kazi ambayo inanifanya nipeleke mkono knywani bila kumtegemea mtu yeyote
Baba yeye hana time na mimi pamoja na juhd za kumtafuta ili niwe karibu nae wakati ndo naingia fom five lakini hakuonesha ushirikiano wala upendo kwangu hakunisaidia kwa lolote. hivyo nimeamua kumpotezea kama vp tutaonana tu peponi endapo hatanihitaji tena
Simwamini mwanamke yoyote isipokuwa mama yangu tu. nampenda sana mama lakini nawachukia sana wanawake wengne
nina mtoto mmoja ila bado cjaoa na hi yote ni kwa sababu ya kutowaamini wanawake
kila ninaeanzisha nae mahusiano nikikuta ana akiri ya kiwaruwaru huwa cjiulizi mara mbili mbili nampiga chn mara moja
Naona bora niishi peke yangu kuliko kuwa na mtu atakaenipotezea furaha yangu
Mtu yoyote akionesha element za kunimistreat huwa namkwepa hata kbla hajatimza adhima yake, sioni shida kutoongea na mbaya wangu hata kama tunaish nyumba moja
so brother hauko peke yako tupo wengi na hii yote ni kwa sababu ya walimwengu.
Na sasa rafiki yangu wa karibu sana niliye nae ni jamiiforum pekee
Furahia mafanikio yako kama umefanikiwa. Aibu itakuwa kwao.Unafahamu kusahau wewe? kwanza embi niambie sumu ya hasira inatolewaje kichwani.
Nikiipata hiyo dawa basi tatizo langu litakua limeisha.
Kwetu sisi ni burudani kushuhudia wenzetu wakiteketea.Haki ya Mungu tena, chuki humchoma anayehifadhi
Mkuu unauchukulia poa msamaha sio?Jitahidi uwe mtu wa kusamehe...
Only msamaha kutoka moyoni ndio tiba ya tatizo lako.
Ukisamehe utakuwa na vinyongo..
Ukisamehe amani itatawala moyoni..
Ukisamehe hata Mungu anakubariki..