Wenye nyumba za kupangisha walipe kodi

Wenye nyumba za kupangisha walipe kodi

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
783
Tukusanye kodi pia wale wote wenye nyumba za kupangisha. Wanapata kipato bila kulipa kodi ili nchi iachane na wahisani kabisa.

Hapa kazi tu
 
Dah!
Siungi mkono hoja, lengo kuu la serikali ni kuboresha na kushusha gharama za maisha kwa wananchi. Watanzania wengi hatuna nyumba bado, tumepanga! Wakitozwa kodi, wananchi wa kawaida ndo tutakuwa tunalipa. Wataongeza kodi!
 
walipe kodi...
 
Tukusanye kodi pia wale wote wenye nyumba za kupangisha. Wanapata kipato bila kulipa kodi ili nchi iachane na wahisani kabisa.

Hapa kazi tu

Umetumwa wewe jamaa, acha kuwanga basi,think before u speak
 
kodi watapandisha kutukomoa wapangaji..

maana demand ya nyumba za kupanga ni kubwa kuliko supply ya hizo nyumba..

so bado wataringa tu na wengi wetu hatuna uwezo wa kupanga appartment za usd..

so ni bora wasilipishwe kodi tu ili iwe angalau
 
ukiona wenye nyumba wanafaidika sana na wewe kajenge yako upangishe, serikali ikilipisha kodi na mwenye nyumba anapandisha huwezi rudi kijijini kwenu!
 
wenye nyumba tayari wanalipa kodi za ardhi, sio kwamba wanapata kipato bila kulipa kodi!
 
wenye nyumba tayari wanalipa kodi za ardhi, sio kwamba wanapata kipato bila kulipa kodi!

Ni heri umuelimishe huyu jamaa, hajuwi hata hilo kama kuna land rent,ni ujinga tu analeta, hajosoma hata uchumi amabapo ungemsaidia,.
 
n kwel kabsa,,,hakuna cha salia mtume ju wao hawajui kod n nn
 
aisee mkuu unaua imagine umepanga laki na nusu akiweka 18% hapo itakuwa 177,000 kwa mwezi aisee achana na hizi mambo
 
aisee mkuu unaua imagine umepanga laki na nusu akiweka 18% hapo itakuwa 177,000 kwa mwezi aisee achana na hizi mambo

Watu kama hawa sio wakuwapa nchi,anakurupuka tu without to assimilate the situation he just implement, idiot, miss chagga huyu atakuwa anakaa kwa wazazi wake,
 
wenye nyumba wanalipa kodi ya kiwanja na property taxi kila mwaka. Sisi ya kwetu tunalipa Property tax kwa mwaka Tsh 330,000/= baada ya City kufanya tathmini upya ya value ya nyumba na kodi ya kiwanja kwa mwaka ni Tsh 47,000/= hivyo tunalipa zaidi ya laki nne kwa mwaka
 
Hatari xana watu mnaharaka ya kuelewa mm nmemuelewa jaamaa vizur tu,Ni kweli kuna kodi ya ardhi na nilazima wananchi walipe,lakin kwann jumba ya kupangsha mwenye Nyumba alipa maana yake Nyumba yake kaifanya biashara xo kodi anayolipa pale ni ya biashara na si vinginevyoo.
 
Hahaha..! kwa hilo sisi wananchi wa kawaida ugumu wa maisha utaongezeka kwa asilimia 200%.
 
kiukweli mtu anaewekeza kwenye nyumba za kupangisha ni wa kumuheshim sana.. maana anaisaidia serikali kuongeza makazi kwa raia wake..

biashara ya nyumba return yake ni ndogo sana. so serikali kuepusha maumivu kwa raia ni bora isiwasumbue kwa kodi za ajab ajab wenye nyumba

maana hata kodi za nhc tu nazo hazishikikiki siku hizi
 
Maadamu kile anachopata kwa mwezi kinazidi kima cha chini cha mshahara lazima alipe kodi kwa sababu ana kipato!!!
 
Back
Top Bottom