Wenye nyumba, sikupenda kuwa bachela

Wenye nyumba, sikupenda kuwa bachela

may una change sana wanawake na ndio maana unapewa restriction
 
Me mwenye nyumba analalamika eti najaza choo. Amesahau kabla ya choo nilijaza wallet yake.
 
sawa mkuu lkn mimi ni mteja na hayo ni maisha yangu binafsi na wazazi wangu!

Nimekuelewa mheshimiwa lakini elewa kuwa kupanga nyumba ni sawa na kupanda daladala wakati ukiwa kwenye nyumba yako ni sawa na kupanda gari yako mwenyewe. Kwenye daladala una uhuru wako lakini lazima uzingatie hisia za hao wengine. Unayoweza kufanya kwenye gari yako mengine kwenye daladala huwezi. Ndiyo hayo!
 
mwenye nyumba jinsia gani? lakini na wewe uoe sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom