Wenye nyumba, sikupenda kuwa bachela

Wenye nyumba, sikupenda kuwa bachela

sawa kiongozi
kwani kelele zinaathiri nini endapo haziko loud?

Aaah nyie hamjijui wengne hatupendi ngono,afu pia klle zenu znamfanya mwenyenyumba atake wakat mkewe kchoka ...inakua shda pia...punguzeni basi ikibd acheni
 
Aaah nyie hamjijui wengne hatupendi ngono,afu pia klle zenu znamfanya mwenyenyumba atake wakat mkewe kchoka ...inakua shda pia...punguzeni basi ikibd acheni

mkuu kama hatupigi kelele kwanini uumie?
 
Nakumbuka adha nliyopata nnapotafuta chumba....wenye nyumba walinikuwa wanankataa kumbe mabachela kama ninyi ndo mnaozesha na samaki wengine lol
 
Wanaume wengine mmezidi hapa nilipopanga kuna mkaka nae mpangaji wa kiume yeye anakuja na girlfriend wake. Na wakiondoka rafiki zao nao wanakuja na wapenzi wao kusex.
 
Nakumbuka adha nliyopata nnapotafuta chumba....wenye nyumba walinikuwa wanankataa kumbe mabachela kama ninyi ndo mnaozesha na samaki wengine lol

mkuu nami nina haki ya kupapuchika ingawa sijaoa!!!
 
Wanaume wengine mmezidi hapa nilipopanga kuna mkaka nae mpangaji wa kiume yeye anakuja na girlfriend wake. Na wakiondoka rafiki zao nao wanakuja na wapenzi wao kusex.

huyo ndo muharibifu mkubwa
 
Kama huyo mwenye nyumba ana mabinti ambao hawajaolewa utata ndiyo unapoanzia.
 
Mnazdishaga n nyie..uhuru usizidi uwezo papuchika maramojamoja na mkeo aczdi kelele ..mpk watu wajue mnchofanya n pia kitanda kiwe imara co knakeleele inakua disturbance
hujamuelewa mleta mada yeye kila siku anaingiza Goma jipya geto kwake ndo hicho mwenye nyumba hapendi
 
Wenye nyumba nuksi sana,alishawahi kunigongea mlango eti nitoke na demu mule gethoni nikagongee gesti wakati bro alinipa go ahead.

nammaind hadi kesho
 
Lazima mkubali kuwa mimi ni mteja kwenu na ninyi ni watoa huduma kwangu, hivyo baada ya malipo yote... nina haki ya kutumia nyumba yako vile nitakavyo ilimrad sisababishi uharibifu wa mali zako.

Godoro ni langu na hela za kuigharamia mahusianio ni zangu, sasa kwanini unanibania mimi mteja wako nisiye na mke, kutotumia kitanda changu kujistarehesha?

Wakati wala siibughudhi familia yako na wapangaji wengine kwa namna yoyote ile, naomba msininyanyapaae nami ni mteja na nina haki kama wengine!!

Kama bado hujafika "bei" kwa mwanamke yeyote ili awe mkeo baadae, ni vizuri ukamalizia mambo yako Guest kuliko kusumbua watu mara huyu mara yule. Ukiamua kumpeleka mtu nyumbani awe yule ambaye kuna angalau matarajio ya kuoa. Víjana wa siku hizi voda fasta hamtaki kuelewa hayo..
 
hujamuelewa mleta mada yeye kila siku anaingiza Goma jipya geto kwake ndo hicho mwenye nyumba hapendi

kitanda ni changu na nyumba yake siiachi hata na kwaruzo moja!
Nafanya yangu na kodi yake nampa kabla ya mda kuisha
 
Wenye nyumba nuksi sana,alishawahi kunigongea mlango eti nitoke na demu mule gethoni nikagongee gesti wakati bro alinipa go ahead.

nammaind hadi kesho

malimbukeni sana hawa watu
utafikiri anachangia gharama ya kitanda
 
Kama bado hujafika "bei" kwa mwanamke yeyote ili awe mkeo baadae, ni vizuri ukamalizia mambo yako Guest kuliko kusumbua watu mara huyu mara yule. Ukiamua kumpeleka mtu nyumbani awe yule ambaye kuna angalau matarajio ya kuoa. Víjana wa siku hizi voda fasta hamtaki kuelewa hayo..

sawa mkuu lkn mimi ni mteja na hayo ni maisha yangu binafsi na wazazi wangu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom