Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,117
- 4,768
F*ck you!View attachment 1028043
View attachment 1028044
Jana Tarehe 20/02/2019 Taasisi ya Change Tannzania ya Mwaharakati Maria Tsehai Sarungi iliandaa Kongamano la kujadili kile walichokiita wajibu wao kwa Serikali.
Kongamano hilo lilifadhiliwa na Foundation For Civil Society (FCS), Twaweza, Taasisi ya HIVOS kutoka Uholanzi na Open Society Initiative For East Africa (OSIEA). Mgeni rasmi kwenye Kongamano hilo ambalo kauli mbiu yao ilikuwa ni Wenye nchi ni Wananchi' alikuwa ni generali Ulimwengu.
Nilifuatilia Mjadala wote wa Kongamano hilo na kimsingi nilichogundua ni kwamba Vijana wale waliokusanyika pale walikuwa wajazwa misemo kibao ambayo haina kichwa wala miguu. Kwamba Uanaharakati ni ishara ya mtu kuwa hai na kutokuwa Mwanaharakati ni ishara ya kuwa mfu.
Kwamba kati ya Utii na Uaminifu, vijana wachague kuwa Waaminifu bada ya Watiifu. Ni ujinga ujinga tu ilimradi kuwafurahisha Wafadhili wao na kulazimisha Watu wafanye vurugu nchini mwao.
Uwasilishaji wa Mada wa kiwango chini kabisa ambao sijawahi kuuona, Vijana wakabaki kung''aang'aa macho na kupiga Miayo hovyo hovyo.
Hivi kweli Serikali inayowapigania Watanzania kama hii ya awamu ya tano inaweza kudhoofishwa kwa kuwashawishi Vijana ujinga kama ule?
Hawa Change Tanzania wanafadhiliwa na Taasisi za ndani na nje badala ya kutumia Ufadhili huo kwa Mambo ya Msingi, wanakwenda kuwavalisha T-Shirt na kuwahadaa Vijana pale 'New Africa Hotel' kwa mambo ya hovyo hovyo.
Niwaase Vijana nchini kutokubali kutumiwa na akina Sarungi. Wamechukua picha Video wakawaoneshe Wafadhili ili wawape Fedha huku Vijana wakibaki wkishangaa.
MAria Sarungi mama yake ni Mpoland Baba ndiye Mtanzania (Mjaluo wa Rorya). Jenerali Ulimwengu aliwahi kukumbwa na tuhuma za kutokuwa Raia wa Tanzania. Wote hawa wana pakukimbilia endapo watafanikiwa kuiingiza nchi kwenye Machafuko.
Wale Vijana mliokuwa pale New Afrika jana ni kweli kabisa Wenye nchi ni Wananchi(JPM, Mimi na Ninyi) lakini siyo hawa wenye Rangi mbili tuwe makini,
Akili za kuambiwa na Watanzania Makanjanja (MARIA SARUNGI na JENERALI ULIMWENGU), Watanznia halisi tuchanganye na za Kwetu.
Sent using Jamii Forums mobile app