Wenye mpango wa kwenda Dar soon tukutane hapa

Wenye mpango wa kwenda Dar soon tukutane hapa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,865
Reaction score
60,869
Nimepamiss sana dar niliwahi kuishi miaka 7 pale napenda sana kuishi external maji chumvi kipande kile nakikubali sana kwa Me naamini dar ndo njiapanda ya mafanikio mnaoishi dar mna enjoy sana.je wewe unapenda kuishi sehemu gani au mtaa gani dar?
 
20221021_012052.jpg
 
Back
Top Bottom