Wenye Mpango wa Kuuga Ukapera angalieni Hii

Mpagama

Senior Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
127
Reaction score
7
Enyi wenye mpango wa kutangaza nia, igeni mfano huu wa mwenzenu yasije yakawakuta haya
 

Attachments

  • 196337_10150124907533838_698993837_6554587_7561224_n.jpg
    76 KB · Views: 675
Kila kitu maandamano siku hizi,
Baba usipotoa hela ya chakula nyumbani, watoto na mama yao Maandamano!!!
 
kweli bana, haiwezekani mtake miharusi mikubwa huku mwenyewe anachangia elfu50 tu.
 
Kuchangiwa ni suala la kawaida. In most cases huwa bwana harus anadanganya kuwa ametenga kiasi fulani, lakini muda wa harusi ukifika hata suti ya bwana harusi inatoka kwenye michango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…