![]()
Kama kibao kinavyojieleza, watanzania wenye moyo wako wapi ? ni kina nani? manake waliopo karibu wote wabomoaji na mafisadi wasio na moyo.
..Kweli kabisa mkuu nakumbuka wakati nilipokuwa nakula kiapo cha chipukizi...kuwa mimi ni chipukizi wa Tanzania, nitaitumikia na kuilinda nchi yangu ya Tanzania, muda wowote, mahali popote..ewe mwenyezi mungu nisaidie....ilikuwa inatoka ndani ya moyo kabisa..lakini sasa mambo hovyo hovyo!umenikumbusha primary school, long time tulikuwa wazalendo kweli kweli...