Wenye matatizo ya akili kuondolewa kwenye daftari la wapiga kura

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,879
Katika zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura wapiga kura wapya watasajiliwa na wale waliopoteza sifa kuondolewa.

Miongoni mwa wanaopoteza sifa ni pamoja na wale waliofariki na wenye matatizo ya akili.

Hayo yamesemwa na mwakilishi wa Nec katika moja ya semina za kuelimisha jamii huko Musoma

Source Star tv!
 
Hapa itabidi waondolewe wengi maana kuna ile takwimu ya kuwepo kichaa katika kila raia kadhaa.
 
Hii ishu ya kuondolewa Kwenye daftari kwasbb ya kuwa na TATIZO la akili lianzie Kwa mwenyekiti wenu wa chama
 
Hata hivyo wenye akili timamu wengi hawapigi kura baada ya kuona ni zoezi la kupoteza muda, kwani wengi wanaotangazwa washindi sio wanaokubalika. Bora waachwe tu hao wenye matatizo ya akili maana ndio hawajui kinachoendelea kwenye box la kura.
 
Afadhali watuondoe tupate kuvuta bangi kwa raha zetu, kila mara nikipelelwa milembe, wanarekodi jina langu kwenye daftari lao, ndio maana nawaambia jina langu treni ili wakiandika jina langu daftari lao lijae
 
Back
Top Bottom