RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,940
- 108,638
Umeona sasa. Niliwaambia tangu mwanzo huwezi kucheza huu mchezo wakati risiti inatoka automatically. Sasa utamlaumu nani usipochukua risiti? Kuibiwa kazi sana na mfumo huu wa risiti inabidi uwe mzembe na usiejali.atayekuchezea huu mchezo atakuzuga usichukue risiti, maana risiti itatoka ikionesha 6,000
Wizi unaoweza kufanyika hapa ni labda wai-set mashine yao iwe inaweka 0.8L au ).9L badala ya Lita moja na wizi wa aina hii anaefaidika ni mwenye kituo sio mhudumu. NA watu wa vipimo wanajua hii michezo huwa wanawashtukiza na kukagua, pia watu wenye vidumu ni rahisi kuwalipua wenye mchezo huu.