Wenye maduka jihadharini na watangazaji wa tv! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenye maduka jihadharini na watangazaji wa tv!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Amina Thomas, Sep 13, 2012.

 1. Amina Thomas

  Amina Thomas JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 272
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Napenda kutoa tahadhari kwa wenye maduka hasa ya urembo. Jihadharini sana na kuwaamini baadhi ya watangazaji wa tv na redio hasa wa kike. Watu hawa wanapenda sana kukuzoea na kujenga uaminifu halafu wanakimbia na madeni. Watu hawa kwa umaarufu wao wanapenda maisha ya juu wakati kiukweli uwezo huo hawana. Mimi yamenikuta lakini baada ya kufanya uchunguzi nimegundua kua hata wengine wengi tu wamefanyiwa hivyo. Wakitapeli duka moja wanahamia lingine. Tabia hizi sio nzuri kwa kua tukiamua kuwaanika itakua aibu
   
 2. k

  kabombe JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 15,624
  Likes Received: 8,590
  Trophy Points: 280
  Ingefaa uwaanike tu,kulia bila kutaja hakusaidii kitu
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  wewe unawaheshimu wezi naona
  ukiwataja hapa kuna shida gani?
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,106
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Amina Designs??

  Anyway, Kama wameweka ushikaji pembeni na kukuibia, nawe weka ushikaji pembeni na kuwataja.

  Wakimwaga mboga,.....!!!
   
 5. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kwa nini usimtaje mwizi wako??kwa nini umuogope??? Kama hutaki kum taja live tutamuepuka vipi?au unawapakazia wbndishi?thibitisha kauli zako.
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Watu bwana....
  Mkinyimwa unyumba mnzaanza longolongo na kupakazia wenzenu
   
 7. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ... Hana Lolote Huyu. Mbona ameambiwa awataje ameingia mitini!
   
Loading...