Mimi nna laini 1 ya voda nilinunua mwaka 2000 na sijawahi kuwa na laini nyingine wala sijawahi kubadilisha namba. Mbona sijapata shida yoyote? Nyie mnachokitafuta kwenye kila mtandao ni kitu gani hasa?Si ajabu wewe ndio tukushangae kwa nn hutaki kuendana na uhalisia wa mitandao yetu bongo,Binafsi nina laini zote na kila moja hua inakua na msaada wake tu kwa wakati usiotegemea ,Kampuni hiz zisizo na usawa bora wa huduma afu niwe na laini moja? Siwezi
Ile Pesa Tuma Kwenye Number Hii......Jina Litatokea CCM INAPASUKALaini za kazi.
Sasa ukiwa na line zote hizo mtu anakutafuta vipi, au mtu atajuaje saizi upo mtandao gani.? Na je kila ukihama mtandao ina maana na watu wote unawaambia sasa nimehamia airtel au unawaacha kule voda?Sababu kubwa ya hii mitandao mingi ulaji mkubwa wa data hauendani na matumizi ndio mana watu wamekuwa wanahama kila siku nimetumia tigo,voda nikahami halotel mitandao yote hii data zinakata fasta sasa nipo na Airtel naona wanaunafuu
Ha ha haIle Pesa Tuma Kwenye Number Hii......Jina Litatokea CCM INAPASUKA
Haaa........
Huwa kwenye mishemishe zako unaendaga mikoani? Hivi unajua Kuna maeneo hapa hapa nchini Voda haikamati mpaka uwe na Halotel?Mimi nna laini 1 ya voda nilinunua mwaka 2000 na sijawahi kuwa na laini nyingine wala sijawahi kubadilisha namba. Mbona sijapata shida yoyote? Nyie mnachokitafuta kwenye kila mtandao ni kitu gani hasa?
Naelewa mkuu. Ila kuna watu wapo hapa hapa mjini hawajawahi kwenda popote na wana line 4. Hao ndio wanaonichosha mimiHuwa kwenye mishemishe zako unaendaga mikoani? Hivi unajua Kuna maeneo hapa hapa nchini Voda haikamati mpaka uwe na Halotel?
Kwa hapo Sawa.Naelewa mkuu. Ila kuna watu wapo hapa hapa mjini hawajawahi kwenda popote na wana line 4. Hao ndio wanaonichosha mimi
Wengi wenye ma line mengi wala hawana kazi yoyote ni basi tu kutuchosha