Kwa yeyote mwenye kuitaji vitabu vifuatavyo tuwasiliane.
Kuna vitabu vya:
..................................
- C,
- C#
- C++,
- Java,
- Javascript,
- CSS
- XHTML
- CompTIA
- Computer Science
- Upgrading and Fixing Computers
- CNET
- Joomla
- Encyclopedia za aina mbali mbali
- Multimedia Technology
- Fix Your Own PC
- Military
Vitabu vyote vipo kwenye Mfumo wa .pdf
Mkuu nilijaribu zamani kuweka hapa baadhi ya vitabu, lakini vilikuwa na byte kubwa nikashindwa kuvipandisha, ila kwa email naweza kukutumia... Nawapatia wale wenye kuitaji na wala siwatozi kitu chochote. Kwa ufupi ni bure, si unajuwa wenzetu nyumbani hawana access kubwa na internet sasa sisi wenye access tuwasaidie japo kidogo.Mkuu kwanini ustuwekee hapa tukachukua tu? Au kuna commission kidogo? Mimi nahitaji c++ na vingine vingi kama military nk bila kusahau cracking and hacking. Help me to make it please.
Ni wazo zuri sana mkuu, ila linaitaji muda na nafasi.X paster mchango wako mzuri .nimekuwa nafikiria kwa mudamrefu tunawezaje kuwasaidia wanafunzi hasa wa vyuo na High school hata sekondary.
Nakuomba kama unaweza google faculty za IT na computer vyuo vyote tanzania. Naweza kujitahidikutafuta adresss za faculty mbalimbali
Then waandike au watumie wahadhiri waambie hizo copy wawagawie wanafunzi wao
Au waandike waulize wanataka vitabu gani ambavyo utawasaida au tasaidiana kuvitafuta kama huna
Tunaweza kufanya hivi hata kwa taaluma nyingine kama ,sheria, uchumi, biashara,
Next tunaweza kungalia jinsi gani tunaweza kucollect video na documentary zenye kufundisha na masomo mbalimbali.
Hongera sana kwa kujitolea
Mkuu ni wazo zuri sana, ila inabidi tujuwe nini wanaitaji kwanza, nitajaribu kuwasiliana nao kwa email, kujua kama hivyo vitabu nilivyo navyo wanaviitaji.UDSM
E-Mail: dean@ee.udsm.ac.tz
dean-ecse@ee.udsm.ac.tz
Muslim University of Morogoro
Hawa Muslim University of Morogoro hawana masomo ya computer. tena ni chuo kichanga kinaweza kuwa kinahitaji msaada sana
Department zao na faculty hazina email pia ila unaweza kuwapigia simu
E-mail: mum@mum.ac.tz
Website: Muslim University of Morogoro
el. +255 260 2600256
SAUT
SAINT AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA pia faculty yao ya engineering hawana email ila simu yao ni
St. Augustine University Of Tanzania
P.O. Box 307
Mwanza, Tanzania
Tel:255-028-2552725,2550900
NB:
Niona hi njia inaweza kuwasaidia wengi zaidi wanaohitaji hivi vitabu
Kwa yeyote mwenye kuitaji vitabu vifuatavyo tuwasiliane.
Kuna vitabu vya:
- C,
- C#
- C++,
- Java,
- Javascript,
- CSS
- XHTML
- CompTIA
- Computer Science
- Upgrading and Fixing Computers
- CNET
- Joomla
- Encyclopedia za aina mbali mbali
- Multimedia Technology
- Fix Your Own PC
- Military
- The Complete Q&A Job Interview Book
- Macromedia flash MX
- The Focal Easy Guide to Final Cut Pro 6
- Windows Vista Annoyances
- Microsoft Office 2010 In Depth
- Card Tricks
- Comic Books (Tintin)
- Learn To Draw,
- Cracking & Hacking
- Automobiles
- The English Grammar
- The Handbook of Good English
- How It Works (Aeroplane & Television)
- Human Body
- Principles of Genetics
- Sex, Marriage, and Family in World Religions
- The Art Of Expressing The Human Body
- Dictionary of Computer Terms
- Robotic
- FireFox Secret
- The Lost Notebooks of Leonardo da Vinci
- The Nostradamus Code WW III
- Religional Books
Na vingine vingi sana.
Vitabu vyote vipo kwenye Mfumo wa .pdf
Kwa yeyote mwenye kuitaji vitabu vifuatavyo tuwasiliane.
Kuna vitabu vya:
- C,
- C#
- C++,
- Java,
- Javascript,
- CSS
- XHTML
- CompTIA
- Computer Science
- Upgrading and Fixing Computers
- CNET
- Joomla
- Encyclopedia za aina mbali mbali
- Multimedia Technology
- Fix Your Own PC
- Military
- The Complete Q&A Job Interview Book
- Macromedia flash MX
- The Focal Easy Guide to Final Cut Pro 6
- Windows Vista Annoyances
- Microsoft Office 2010 In Depth
- Card Tricks
- Comic Books (Tintin)
- Learn To Draw,
- Cracking & Hacking
- Automobiles
- The English Grammar
- The Handbook of Good English
- How It Works (Aeroplane & Television)
- Human Body
- Principles of Genetics
- Sex, Marriage, and Family in World Religions
- The Art Of Expressing The Human Body
- Dictionary of Computer Terms
- Robotic
- FireFox Secret
- The Lost Notebooks of Leonardo da Vinci
- The Nostradamus Code WW III
- Religional Books
Na vingine vingi sana.
Vitabu vyote vipo kwenye Mfumo wa .pdf