Wenye king'amuzi cha Star Times tunaomba list ya channels zilizomo

<br />
<br />
thnx mkuu,nlishawaambia watu wanakurupuka kabla ya uchunguz wa kina then wanalalamika 2
 
Still startimes ni nzuri kiukweli...kwanza ni rahisi na wamejitahidi kuweka kila types za chanel...muvi, mizik, news, kids, series n.k... Tatizo watu hawaeliwi...wale wanafanya kama dstv..the more inapokuwa na watumiaji wengi ndivyo wanaongeza chanel za ziada..
 
Mimi ni Mtumiaji wa Cable Tv Long time nilishawishika kujiunga na Star times ilipoanza kwa ukweli nilijuta after two days tu kwani sikuona jipya kama cartoon wana channel ya ovyo sijapata ona channel ya wanyama ipo ovyo haswa kipindi hicho walikuwa wanaonesha dog tu hata sikuwaelewa, movie ndio sikupata zile za action hata moja zaidi ya kutizama MGM na movie zao za kale 1947 nikaona nimeingia mkenge nilitarajia kupata Diecovery channel haipo kama niipatavyo kwenye cable wao wana Discovery world huwa sio nzuri sana.

Na picha niliyoipata kwenye Star times haina ubora ina kama ukungu fucus mbaya inaumiza macho ukilinganisha na Cable na Dstv zinazofanana kwa ubora wa Picha na antena yao usipoiweka juu fresh inakata kata mbaya tuliponunua walituhaidi kwa kutakuwa na EPL wapenzi wa soccer si unajua tena huwa hatuchelewi, nawalaumu sikuona kipande cha soccer ya england ni mataperi tena namaanisha. sikulipia tena baada ya offer kuisha hadi mwezi wa nane mwaka huu nilisikia tetesi wataonesha soccer ila dah najutaaaaaaaa pesa zangu kununua uchafu
 
Asanteni kupitia wengine nimewaelewa aisee vip zuku jamani,tukiacha azam na dstv ambayo inafaamika ni ghali kumudu na si mpenzi wa mpila shemeji zanhu nisaidieni......!!!
 
Miezi miatatu nilikuwa sijalipia , niakaona bora nilipie nione afcon maweeee!!!! nimetafuta channel zote hamna kitu naona channel za wafaransa wanapeleka mbwa hospitali tuu. Silipii tena
 
Miezi miatatu nilikuwa sijalipia , niakaona bora nilipie nione afcon maweeee!!!! nimetafuta channel zote hamna kitu naona channel za wafaransa wanapeleka mbwa hospitali tuu. Silipii tena
Umelipa kiasi hadi unakuja kulia lia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…