Wenye king'amuzi cha Star Times tunaomba list ya channels zilizomo

kaka unaetaka kununua king'amuzi inategemea na interest yako kuna vingi hawajataja hapo

kuna discovery world, animaux na national geography kama unapenda mambo ya uchunguz, wanyama majografia yapo,

kuna mtv base na chanell moja ya black wa uk zinagonga miziki ya nje na sumtime ya africa

kuna bolywood tv best kuliko b4u movies kwa ajili ya kanda za kihindi

Kwa soccer kuna setanta ni ya scotland inaonyesha mieleka ya tna na mipira mingi si live haionyesh epl na kuna foot tv channel ya kituo cha watoto cha ac milan ni nzuri kwa makocha

zakibongo kuna tbc, chanell 10, clouds tv, tbc2 na sibuka hii sibuka ni best wana movie 2 kali kwa siku saa 4 mpaka sa 6 na saa6 mpaka sa 8

Kuna hizi stvc1, na 2 hizi ni michezo ya kinamama na trailer na scandal za hollywood

Za habari zipo msnbc, bbc na aljazeera

channel za africa kuna kbc na citizen za kenya, kbc wanaonyesha uefa champions league ipo e,star ya nigeria ipo kama africa magic all time kanda za kinigeria pia ipo e.tv ya south africa nafkiri inajulikana wanaonesha mieleka wwe live

Pia zipo chanell za watoto kama kids tv na channel ya movie za zamani mgm

Kaka kama unataka specific hizi unaweza kununua star times manake kifurush cha dstv cha elf 10 huon ligi ya uingereza ni kibaya kuliko star times,

Watanzania tubadilike tuongee reality na si siasa

thnx mkuu,nlishawaambia watu wanakurupuka kabla ya uchunguz wa kina then wanalalamika 2

Still startimes ni nzuri kiukweli...kwanza ni rahisi na wamejitahidi kuweka kila types za chanel...muvi, mizik, news, kids, series n.k... Tatizo watu hawaeliwi...wale wanafanya kama dstv..the more inapokuwa na watumiaji wengi ndivyo wanaongeza chanel za ziada..

Mimi ni Mtumiaji wa Cable Tv Long time nilishawishika kujiunga na Star times ilipoanza kwa ukweli nilijuta after two days tu kwani sikuona jipya kama cartoon wana channel ya ovyo sijapata ona channel ya wanyama ipo ovyo haswa kipindi hicho walikuwa wanaonesha dog tu hata sikuwaelewa, movie ndio sikupata zile za action hata moja zaidi ya kutizama MGM na movie zao za kale 1947 nikaona nimeingia mkenge nilitarajia kupata Diecovery channel haipo kama niipatavyo kwenye cable wao wana Discovery world huwa sio nzuri sana.

Na picha niliyoipata kwenye Star times haina ubora ina kama ukungu fucus mbaya inaumiza macho ukilinganisha na Cable na Dstv zinazofanana kwa ubora wa Picha na antena yao usipoiweka juu fresh inakata kata mbaya tuliponunua walituhaidi kwa kutakuwa na EPL wapenzi wa soccer si unajua tena huwa hatuchelewi, nawalaumu sikuona kipande cha soccer ya england ni mataperi tena namaanisha. sikulipia tena baada ya offer kuisha hadi mwezi wa nane mwaka huu nilisikia tetesi wataonesha soccer ila dah najutaaaaaaaa pesa zangu kununua uchafu

Asanteni kupitia wengine nimewaelewa aisee vip zuku jamani,tukiacha azam na dstv ambayo inafaamika ni ghali kumudu na si mpenzi wa mpila shemeji zanhu nisaidieni......!!!

1561323404665.jpeg

Miezi miatatu nilikuwa sijalipia , niakaona bora nilipie nione afcon maweeee!!!! nimetafuta channel zote hamna kitu naona channel za wafaransa wanapeleka mbwa hospitali tuu. Silipii tena

Miezi miatatu nilikuwa sijalipia , niakaona bora nilipie nione afcon maweeee!!!! nimetafuta channel zote hamna kitu naona channel za wafaransa wanapeleka mbwa hospitali tuu. Silipii tena
Umelipa kiasi hadi unakuja kulia lia ?

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom