Wenye exposure kidogo tafadhali; wale washamba mpite hivi

Wenye exposure kidogo tafadhali; wale washamba mpite hivi

Samahani wakuu eti huyu jamaa kwenye mkono wa kulia kashika nini?

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 1067270
Acha zarau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inajulikana kama CIMARRON TEA,THE MATE TEA au MATE INFUSION TEA ni chai ya asili ambayo inatumika sana amerika ya kusini na yenye kiwango kikubwa cha CAFFEINE so ukipiga funda mbili ni kuchangamka kwa kwenda mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshamba Mkuu na mashauzi yake!!!! Hicho kina KIPEGO kwa Kigogo na KIPEYO kwa kirangi
 
Hahhahahahha

Mkuu umewahi ishi katika nchi ya Urusi nini? Maana tuliowahi ishi huko ndio tunaijua hii kampuni Ahahhahaha

Umeijuaje au Product za kampuni hii zipo hadi hapa Bongo? Sijawahi kuziona licha ya kuzurura kwangu kote
Mkuu mimi sijawahi kuishi Urusi ila bidhaa zao matata nazikubali sana, Lada, Zilli, Ural
 
Back
Top Bottom