Wenye bendera za Israel wanamaanisha nini?

Wenye bendera za Israel wanamaanisha nini?

Kuvaa jezi ya mpira wa nje imekusaidia nn au ni ulimbukeni wa fikra..... Vitu vingine havinaga haja ya kujadili we viache kama vilivyo maadam havikubugdhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa ni wapumbavu kama wale wanao wanaotembea na libendera la kijani lenye maandishi meupe ya kichawi kichawi (Kiarabu)

Mbona Povu

african-union-flag-close-up-realistic-animation-seamless-loop-10-seconds-long_ewheoj3ql__S0000.jpg
 
Masuala ya kuabudu kila MTU aachiwe uhuru wake kama huielewi Israel heshim yule anayeifahamu ...
 
Back
Top Bottom