Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,249
- 2,156
Wakuu tuache utani hii kitu ipo kwa kweli, Na bongo mademu wote wazuri wana ukimwi hasa hawa ma miss na ma model, Tuwe makini sana jamani mimi mwenyewe nimenusulika kama kwa wa 2 hivi bahati nzuri huwa nashtuka nikimpiga maswali mengi at the end nakuja kuona kilio na kusema nakupenda sana ila sitopenda kukuharibia maisha yako, nikiona hivyo najuwa tayari mambo yameharibika, so wakuu tusidharau hii thread hasa dar ukimwi upo mwingi na since hapo sichezi tena na maisha yangu hata kidogo.so ukweli ndio huo jamani nikikumbuka inahuzunisha sana unamuona msichana mzuri wa miaka 25 ameathirika sijui tunaenda wapi kwa kweli.....