wenye bahati kama mimi ni wachache

wenye bahati kama mimi ni wachache

Hii kitu umeitunga na umeshindwa kuyaweka matukio yote matatu kwa wakati mmoja pole sana try next time
NIMEMSITUKIA,HAKUNA KITU HAPA. UKO KWENYE 18 ETI SIMU INALIA?????? huwezi kua
hirisha mechi sababu ya simu kwanza nani ana muda wa kuipokea??? nimefuata simu au???
 
Recently nilikutana na kijana, anadai yeye hapati ukimwi. Aliishi na mdada akiwa chuo for 3 yrs, na wakapima ukimwi kama mara 3. Dada anao na yeye hana, ila anadai mara ya kwanza mdada alimuomba msamaha wakaendelea na mapenzi kwa kinga. Then akaamua hataki tena condoms. In the end wana mtoto wa 4 yrs, but waliachana coz mdada ni kicheche. Namfuatilia huyu jamaa tufanye utafiti, either hana binding factor kwa hiv virus or if it is lucky nadhani nyota yake tukiitoa copy itauzika,lol

yap.kuna mmoja aliishi na demu miaka2 wakazaa mtoto mama aligundulika ana hiv jamaa akawa hana,walichana ila jamaa alimwachia demu vitu vya ndani akasepa zake.
 
Mungu anakuchkua kwa namna alivyopanga na siku aliyopanga, inawezekana we alikupangia kufa kwa kipindupindu sio UKIMWI kwahiyo kuwa makini katika kila unalolifanya
 
acha uasherati utubu na kuokolewa kwani bila hivyo utakutana na wale walio katika stage ya revenge watakuambukiza kisha tutakurejesha kwenu ukiwa katika mfuko wa rambo ufunuo 21.8, mithali 28.13, luka 1.77, yohana 1.12

asiyesikia na mkuu huvunjika guu
 
Wa pili mwaka 2004 tulifika kabisa kitandani tunataka kuanza, nikapigiwa simu ya msiba, tukaahirisha, baada ya msiba nikakumbushia, akaniambia ameathirika, she is now very sik, bed riden, namtembeleaga. verry sory of her.

ungeupdate kwenye post yako ya kwanza kwa kuendelea inaleta utamu zaidi. mi nilizani utafungulia new thread story 2 na 3.
 
Haa kwani ushukuru si ulimpenda mngegawana tu kwan kuna mbaya gani.
 
acha uasherati utubu na kuokolewa kwani bila hivyo utakutana na wale walio katika stage ya revenge watakuambukiza kisha tutakurejesha kwenu ukiwa katika mfuko wa rambo ufunuo 21.8, mithali 28.13, luka 1.77, yohana 1.12

asiyesikia na mkuu huvunjika guu

like this ashupazae shingo atavunjika ghafla wala hata pata dawa
 
Kuna mdingi mmoja mjeshi,alikuja kijijini kwetu kuoa,kaoa kamdanganya binti wa watu.Kumbe mjeshi mke wake alikufa kwa Ukimwi.Mdada sasa hivi anakula ARV.Dunia hii hatari.Mkaka una bahati

Sijaelewa, huyo dada amepata ukimwi koz mke wa mjeshi alikufa nayo? au mjeshi mwenyewe anao!
 
ulivyokua wa ajabu baada ya kumshukuru mungu unamshukuru demu.by the way uzinzi ni noooma.
 
Back
Top Bottom