wenye bahati kama mimi ni wachache

papaamukulu

Member
Jan 20, 2011
41
4
Wana jf salaam. napenda kushare nanyi hii kitu ambayo ilinitokea personaly, ambapo nilinusurika kuambukizwa hiv mara 3 kwa vipindi 3 tofauti na warembo 3tofauti. this is the story, dem wa kwanza ni mwaka 2002,alikuwa ofic mate, yaani she was gorgious african woman, whom every man would wish 2 hav in bed. tukapanga ku do, tulipofika gesti, dem alikataa kabisa tongue kiss, nilifadhaika sana hadi jogoo akagoma kuwika, coz kwanza sikuwa na zana na nikaanza kuhisi kuna tatizo. tuliahirisha mechi, ila baadaye akanijulisha kuwa hakutaka tongue kis kwa sababu ameathirika na hangependa kuniweka kwenye risk! nilijikuta nasweat mwili mzima, nilimshukuru sana, we became best frndz hadi alipofariki may mwaka huu. hao wengine wa2 nitaendelea badaye, ila napenda nijue, kuna ambaye amewahi kukutana na jambo kama hili? si ni kwa neema tu tunapata kupona? hasa when a pretty lady is involved?
 
Aisee me sijawahi kabisa, kwanza hongera sana, mshukuru Mungu na umtolee sadaka, halafu sasa ubadilike. Wengine tuige mfano wa huyo dada, kuuwana sio dili
 
duh, kwa kweli kama mtu unajijua umeathirika, sio utu kumwambukiza mtu kwa kusudi.

Ni kuua kwa kukusudia kabisa
Lucky you!
 
what if she is cheating you?

My marriage is a holly one, we commend it onto the hands of Jesus, and the protection of holly spirit. yeye aliyeniponya nisiambukizwe ukimwi kabla sijaoa hawezi acha niambukizwe ndani ya ndoa, nalo ndilo nasimamia na kuwa mwaminifu kwa mke wangu!
 
Mimi huwa nawaza kuna watu wanaambukiza wenzao kwa makusudi. Hivi fikiri mtu wa maabara hosp akiwa ameathirika halafu akiingiwa na ''pepo'' la kuwaambukiza watu ukimwi sijui itakuwaje? Damu ya Yesu itufunike kwa kweli.
 
Kweli wewe una bahati na inafaa mtoto wako mmoja wa kike umwite jina lake kama kumuenzi lakini kumbuka kisima hakirukwi mara tatu inakufaa uachane na mambo hayo
 
Leo hii limenitokea.akaniuliza...wewe unaniamini????? Huenda.shabash
 
Kuna mdingi mmoja mjeshi,alikuja kijijini kwetu kuoa,kaoa kamdanganya binti wa watu.Kumbe mjeshi mke wake alikufa kwa Ukimwi.Mdada sasa hivi anakula ARV.Dunia hii hatari.Mkaka una bahati
 
Mimi huwa nawaza kuna watu wanaambukiza wenzao kwa makusudi. Hivi fikiri mtu wa maabara hosp akiwa ameathirika halafu akiingiwa na ''pepo'' la kuwaambukiza watu ukimwi sijui itakuwaje? Damu ya Yesu itufunike kwa kweli.

Amen friend.
 
Kuna mdingi mmoja mjeshi,alikuja kijijini kwetu kuoa,kaoa kamdanganya binti wa watu.Kumbe mjeshi mke wake alikufa kwa Ukimwi.Mdada sasa hivi anakula ARV.Dunia hii hatari.Mkaka una bahati

lady, kwangu mimi naamini si bahati tu, ulikuwa mpango wa Mungu kunimusuru, mind u, this is one of the three stories zinazofanana mazingira, ampapo zote ilikuwa nipate ngoma.
 
Unasema una bahati lakini hujatuambia kama umpima. Maana inaelekea kama ume exhaust quota ya magunia yako ya bahati, hata hiyo formula ya kugawa bahati inaweza kuchoka sasa.
 
lady, kwangu mimi naamini si bahati tu, ulikuwa mpango wa Mungu kunimusuru, mind u, this is one of the three stories zinazofanana mazingira, ampapo zote ilikuwa nipate ngoma.

Sasa kama unaamini mungu sana si ukikanyage miwaya live tu halafu mungu atakusaidia?

Mbona mnamburuza mungu sehemu hayupo?
 
Wa pili mwaka 2004 tulifika kabisa kitandani tunataka kuanza, nikapigiwa simu ya msiba, tukaahirisha, baada ya msiba nikakumbushia, akaniambia ameathirika, she is now very sik, bed riden, namtembeleaga. verry sory of her.
 
Back
Top Bottom