Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 10,293
- 19,515
ππππππ hesabu ulikua unapata ngapi wewe ...?niambie basi, ndo nini hicho ππ€

Ubarikiwe,Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari wakuu,
Leo naomba tuongee kuhusu hawa vichwa waliokuwa wanakimbiza darasani...
Unakuta mtu ni namba 1 tu...
Hawa vipanga wa darasani wengi wao wapo mitaani yaani hawaeleweki...
Nimekaa na watu mbalimbali wanasema wale waliokuwa wakisoma nao na walikuwa wanaakili sana hawajafanikiwa..
Wapo wanaosema kuwa wanaishia vibaya Yani pamoja na akili zao za shule ila maisha magumu...
Yaani wengine ni walevi na wengine ni choka mbaya huko duniani..
Wengine wamechanganyikiwa hawana akili nzuri yani wehu...
Ukija la swala la kutafuta wao yaani wanaangukia pua...
NB: Sio wote wenye akili darasani huishia njiani wengine hufanikiwa...
Swali;
Nini kinawapata hawa watuwenye akili darasani?
Vilaza wengi hata kwenye maisha wamepigika.
Ni kweli kabisa umenena, elimu ya kwenye makaratasi ni tofauti na ya vitendo.wasomi wengi hawaipendi elimu yavitedo,(za kuambiwa changanya na za kwako utatoboa.)Wengi wanategemeaga elimu kwa 100% ili watoboe matokeo yake wanaangukia pua
Hawaweki akili zao kuangalia upande mwingine wa maisha ni wao na vitabu tu...Akina siye sasa leo ukisikia semina ya batiki upo....kulima tikiti upooo....sijui kufuga samaki na vyura huyoooo....msimu wa mihogo utakaangaa basi tu mradi utoboe
Sasa wasomi wakija mtaani na elimu yao ya ya kwenye vitabu hawatoboi maisha ya kitaa magumu sana...wanaishia kuhangaika na CV zao huku wakiitukana serikali
KinllnachiKuna kitu kinatokea ili asimalize maisha vizuri
Si ndiyoo, Nimeamua nije na Conpaign ya kuwakumbusha tu mimi UKIMWI bado nipo na NINAUAKama watu wanajisahaulisha hivi
10- 35..hapo katikati πππππππππ hesabu ulikua unapata ngapi wewe ...?
Kibongo, Mtaani kunahitaji kugezea zaidi kuliko kuvumbua kipya!Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari wakuu,
Leo naomba tuongee kuhusu hawa vichwa waliokuwa wanakimbiza darasani...
Unakuta mtu ni namba 1 tu...
Hawa vipanga wa darasani wengi wao wapo mitaani yaani hawaeleweki...
Nimekaa na watu mbalimbali wanasema wale waliokuwa wakisoma nao na walikuwa wanaakili sana hawajafanikiwa..
Wapo wanaosema kuwa wanaishia vibaya Yani pamoja na akili zao za shule ila maisha magumu...
Yaani wengine ni walevi na wengine ni choka mbaya huko duniani..
Wengine wamechanganyikiwa hawana akili nzuri yani wehu...
Ukija la swala la kutafuta wao yaani wanaangukia pua...
NB: Sio wote wenye akili darasani huishia njiani wengine hufanikiwa...
Swali;
Nini kinawapata hawa watuwenye akili darasani?
Kama umeguswa kumsaidia wewe msaidie usifikirie hayo mengine ya sijui atakuonajeinaumiza sana yani... sometimes hua natamani nimfanyie hata kitu maana alikua ananisaidiaga sana shule.., sema nawaza atanionaje
Mwandishi anazungumzi mafanikio ya kifedha.Mbona mimi nilikuwa namba moja toka form one, na sasa nagonga PhD.
Inamaana akuomba tena mkopo?kuna mkaka alikuaga anaongoza miaka yote toka form one hadi form4, na advance akapiga vizuri sana sema akakosa mkopo hakwenda chuo... saizi ana hali mbaya jamaniππ€¦ββοΈπ€¦ββοΈ
Sasa kumbeππ alafu babaangu alikuwa ananipenda hatar akaninunulie jipime la hesabu kidogo nikawa napata angalau 18 had 20 ππππππππππ
10/50 yaaan wewe mwalimu ulikua unamwachia 40 zoteee π¬π¬π¬
Mbaya zaidi wengine wanaishia kazi ya kufundisha watoto WETU.Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari wakuu,
Leo naomba tuongee kuhusu hawa vichwa waliokuwa wanakimbiza darasani...
Unakuta mtu ni namba 1 tu...
Hawa vipanga wa darasani wengi wao wapo mitaani yaani hawaeleweki...
Nimekaa na watu mbalimbali wanasema wale waliokuwa wakisoma nao na walikuwa wanaakili sana hawajafanikiwa..
Wapo wanaosema kuwa wanaishia vibaya Yani pamoja na akili zao za shule ila maisha magumu...
Yaani wengine ni walevi na wengine ni choka mbaya huko duniani..
Wengine wamechanganyikiwa hawana akili nzuri yani wehu...
Ukija la swala la kutafuta wao yaani wanaangukia pua...
NB: Sio wote wenye akili darasani huishia njiani wengine hufanikiwa...
Swali;
Nini kinawapata hawa watuwenye akili darasani?
Labda halafu hajatoboa vile apendavyooMaybe alikua genious huyo...
ππSema kweli ulikuwa unapata zote10- 35..hapo katikati πππ