Wenye akili sana maisha huishia njiani

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,513
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari wakuu,

Leo naomba tuongee kuhusu hawa vichwa waliokuwa wanakimbiza darasani...

Unakuta mtu ni namba 1 tu...

Hawa vipanga wa darasani wengi wao wapo mitaani yaani hawaeleweki...

Nimekaa na watu mbalimbali wanasema wale waliokuwa wakisoma nao na walikuwa wanaakili sana hawajafanikiwa..

Wapo wanaosema kuwa wanaishia vibaya Yani pamoja na akili zao za shule ila maisha magumu...

Yaani wengine ni walevi na wengine ni choka mbaya huko duniani..

Wengine wamechanganyikiwa hawana akili nzuri yani wehu...

Ukija la swala la kutafuta wao yaani wanaangukia pua...

NB: Sio wote wenye akili darasani huishia njiani wengine hufanikiwa...
Swali;
Nini kinawapata hawa watuwenye akili darasani?
 
Back
Top Bottom