Natania
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 262
- 217
- Thread starter
- #41
Leo anayasema haya kwasababu katoka CDM, kwahiyo anamaanisha huko aendako siku nako akiondoka atahara tena kama alivyoondoka CDM?
Na kwa mfano leo CDM wakasema tumeamua kusamehe ya Zitto , je, atarudi ama hatarudi? si ndo anachokipigania? na akifika huko atasema niliamua kumwaga mboga? wenye busara kamwe huwa hawamwagi mboga ndo maana tunamlaumu Pinda alipomwaga mboga kusema "wapigwe". Learn ZZK.
Kwa hiyo wewe kosa umeliona upande mmoja tu wa ZZK kumwaga mboga? Na hao waliomwaga ugali? duuu hivi watanzania tumefikia hapa?