Wenye akili CHADEMA wapo kimya

Wenye akili CHADEMA wapo kimya

Mbowe ameshaset maisha na kujenga contacts za maana dunia nzima..CDM ife isife Mmachame yeye pesa tu... No wonder hypocrisy yake ipo kwenye pesa when it comes to money there is neither principles nor emotions to Mbowe Business is bisoness and politics (na CDM yenyewe) is an extension of business...Watz wakizinduka chadema itarudi kua NGO ya kikanda

Amini nakwambia kuna siku huyu Mbowe atatembea na slippers mtaani. Hawezi kuchezea akili ya Watanzania wakati tunahitaji mageuzi. Just wait and see my friend. Atauza kila kitu.
 
Ni Lazima niseme ukweli kuwa CHADEMA imeyumba mno na kama jitihada za makusudi hazijafanyika basi hiki chama kinakufa rasmi.

Haya Madudu ya akina Mbowe yanayoendelea kuanikwa na kutolewa utetezi usioeleweka yananifanya mimi niliyekuwa naichukia CCM nianze kutafakari upya kwani kwa sasa SIONI TOFAUTI YA CCM na CHADEMA (na huenda CHADEMA wanaweza kuwa hatari zaidi).

Nimefuatilia kiasi kauli za wabunge wa CHADEMA [ambao ndiyo wanafahamika sana] wakiongea kuhusu swala la Kitila, ZZK, Mwigamba -kwa kweli nimesikitika sana. Nimesikitika kwa kuwa mwanzoni niliwaona wabunge hawa kuwa vichwa ila kwa sasa nawaona viumbe hatari sana.

Ukiachilia mbali mbunge Lema ambaye yeye amekuwa haeleweki vema kwenye baadhi ya kauli zake kwa muda mrefu sasa, Mnyika, Mch. Msigwa na Lissu kwa kweli wameharibu CV zao vibaya mno kwa utumbo waliouongea kuhusiana na mgogoro unaofukuta Chadema. Sikuamini mtu kama Mnyika, Msigwa na Lissu wanaweza ku-support udikteta wa akina Slaa na Mbowe (na wengine wote) wa kuwaona wahaini watu ambao wanamawazo mbadala wa namna ya kumpata kiongozi wa chama. Mnyika ndo niliyekuwa namwamini sana lakini naye kajitosa kwenye siasa za ki-imla hata sijui kwa sababu gani.

Naomba nichukue fursa hii kuwapongeza wabunge na wanachama mahsusi wa Chadema ambao at least wameonyesha akili kwa kukaa kimya.

Ndiyo, pamoja na kwamba kukaa kimya wakati madudu yanaendelea ni unafiki, lakini ni heri ukae kimya uonekane una-akili kuliko kuongea ku-support madudu. Pongezi hizi ziende kwa Mbunge Joshua Nassari, Mbunge Halima Mdee, Wakili Mabere Marando, Prof. Safari na wengine wote ambao wamesahaulika wakati wa kutoa maoni haya.

UPDATES

Wakili Mabare Marando na Prof Safari nimewatoa rasmi kwenye list ya kupongezwa baada ya kusoma gazeti la Mtanzania wakisema wanaunga mkono maamuzi ya kamati kuu ya Chadema kwa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya wale wanaoitwa wahaini. Vituko havitaisha Tanzania!


Jitahidi kaka inaelekea leo utapokea kiasi kikubwa sorry utakuwa umeshapokea kiasi kikubwa lakini unalipwa kwa gharama na kujitoa ufahamu na kujitia upofu wewe mwenyewe huwezi jaribu kupotosha umma kuwa maamuzi ya kamati kuu ya chama makini kama CHADEMA chama kinachonyima usingizi watawala.
 
Ukiwapongeza ww wanapata nn na usipowapongeza wanakosa nn!

Siyo kazi yangu kukuelewesha mtu mzima maana ya kupongezwa, hiyo ni elimu ya darasa la awali.
 
Jitahidi kaka inaelekea leo utapokea kiasi kikubwa sorry utakuwa umeshapokea kiasi kikubwa lakini unalipwa kwa gharama na kujitoa ufahamu na kujitia upofu wewe mwenyewe huwezi jaribu kupotosha umma kuwa maamuzi ya kamati kuu ya chama makini kama CHADEMA chama kinachonyima usingizi watawala.

Hivi WEWE MWENYE UFAHAMU NA UNAYEONA umeshindwa nini kutoa sababu hata moja ya hayo unayoyaandika? Siyo swala la kusema 'chama makini' -eleza kwa nini ni chama makini. duuuuu!
 
CHADEMA is a time bomb waiting to explode!.

Chama kilisimama kwenye misingi ya ulaghai na kuwaaminisha wananchi kuwa wao ni wapiga vita ufisadi na wakombozi wa wananchi but little known kuwa wao ndiyo walikuwa ni catalyst wa ufisadi kwa sababu chama kilikuwa kinaendeshwa na pesa za 'mafisadi'.

Nilipomuona Mabere Marando na yeye ameingia kwenye majukwaa ya siasa ya CHADEMA akipiga vita ufisadi wakati yeye ni wakili wa mafisadi, basi nikafamu kuwa timer ya bomb la ulaghai wa CHADEMA iko on.

Huu ni mwanzo tu wa mlipuko wa bomu na wajiandae kisaikologia kwa yanayokuja huko mbeleni.

una maneno mtoto wa diwani.................... hayo maneno mekundu yanachoma kumoyooo
 
Amini nakwambia kuna siku huyu Mbowe atatembea na slippers mtaani. Hawezi kuchezea akili ya Watanzania wakati tunahitaji mageuzi. Just wait and see my friend. Atauza kila kitu.

mabinalization au tunaita Kisesalization.................



..........................!!!!!!!!!!.jpg
 
Akili za misukule utazijua tu! huna jipya kachukue buk7 lumumba
mkuu muda utasema. kuna miezi 18 tu kabla ya haya kutokea. kwani tunaandikia mate, usiwe na pupa subiri.
 
Back
Top Bottom