Wenye akili CHADEMA wapo kimya

Wenye akili CHADEMA wapo kimya

Nadhani mtoa hoja tungekupongeza sana kama ungekuja na njia mbadala ya kushugulikia chanzo cha mgogoro ndani ya CHADEMA; ambao kila mmoja anatambua kuwa ni "usaliti" wa ndg Zitto ndani ya chama.

Wewe kama mtu mwenye akili, weledi na busara ni vizuri kushauri bila upendeleo ili kukinusuru chama; ila ni wazi kabisa kwamba dawa pekee ya usaliti ni kutimua.

Huwezi kuvumilia pale unapo hujumiwa. Ushahidi wa kutosha uko wazi jinsi Zitto alivyo tumiwa na wabaya wa CHADEMA ili aue chama.

Kama naye alikuwa na tuhuma dhidi ya Mbowe, mbona kakaa kimya siku zote aje kufunguka leo baada ya kuchinjiwa baharini? Si angeongea mapema akiwa bado na heshima zake ndani ya chama ili watu wamwelewe na kuchangia hoja?

Kumbukeni Zitto analeta janja ya kuku kuwa na nguvu nyingi z kutaka kuruka na kukimbia mara tu akishakatwa kichwa.

Huo ushaidi wa Zitto kukisaliti chama uko wapi mbona hatuuoni au kuandaa mkakati wa 2013 ndio usaliti? Acha kukaririshwa mambo bila kufikiri. Leta ushahidi kuwa Zitto ni msaliti na sisi tutakuamini. Unatumia waraka ulioandaliwa kumchafua ndio uasema ushahidi? Mbona mkanda wa video ya ugaidi ya Lwakatare mnasema ni wa kutengeneza? kwa nini waraka wa kumchafua Zitto huamini kuwa ni wa kutengeneza pia?
 
Kwa hyo akina mnyika, lissu, msigwa na wengne wamepoteza credibility kwako kisa ya kuwa mbele ishu ya zit to, hicho sasa ndo kinawafanya wawe roll model ya watu weng nchini...kuna haja gan ya kunyamaza wakat mambo hazieleweki?
 
Nadhani mtoa hoja tungekupongeza sana kama ungekuja na njia mbadala ya kushugulikia chanzo cha mgogoro ndani ya CHADEMA; ambao kila mmoja anatambua kuwa ni "usaliti" wa ndg Zitto ndani ya chama.

Wewe kama mtu mwenye akili, weledi na busara ni vizuri kushauri bila upendeleo ili kukinusuru chama; ila ni wazi kabisa kwamba dawa pekee ya usaliti ni kutimua.

Huwezi kuvumilia pale unapo hujumiwa. Ushahidi wa kutosha uko wazi jinsi Zitto alivyo tumiwa na wabaya wa CHADEMA ili aue chama.

Kama naye alikuwa na tuhuma dhidi ya Mbowe, mbona kakaa kimya siku zote aje kufunguka leo baada ya kuchinjiwa baharini? Si angeongea mapema akiwa bado na heshima zake ndani ya chama ili watu wamwelewe na kuchangia hoja?

Kumbukeni Zitto analeta janja ya kuku kuwa na nguvu nyingi z kutaka kuruka na kukimbia mara tu akishakatwa kichwa.

Kama kupanga kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama ni njama za kukiuua chama basi hicho chama hakifai hatakuwepo. Kwani ZZK angepata wapi kura za kushinda hata kuwa mwenyekiti? Na kama mtu ambaye hafai anapata kura nyingi mpaka kushinda kosa lake lipo wapi? kosa si lipo kwa waliomchagua? ZZK, Kitila na Mwigamba hawakufanya kosa kiasi cha kufukuzwa uanachama, ni ubabe tu wa akina Slaa na hofu ya kuondoka kwenye nafasi zao na kukosa hayo mamilioni wanayopata makao makuu wakati wenzao wilayani na kwingineko wanajitolea kufanya kazi za chama.
 
Kwa hyo akina mnyika, lissu, msigwa na wengne wamepoteza credibility kwako kisa ya kuwa mbele ishu ya zit to, hicho sasa ndo kinawafanya wawe roll model ya watu weng nchini...kuna haja gan ya kunyamaza wakat mambo hazieleweki?

Yes, huwezi ukawa mbele kwenye issue ambazo hazina mashiko na bado nikakuona unafaa. Kupata mkakati wa kugombea tena kwenye chama cha demokrasia haiwezekani hata siku moja kukawa ni kufanya UHAINI. Hivi NENO UHAINI limepata maana MPYA hivi karibuni ambayo mimi siifahamu?
 
Hii yote ni mitazamo tu. Kama ni kweli kuna usaliti amekuwa akifanya kwa chama chake awajibike,mengine yote ni mbwembwe tu. Kwasababu kimsingi hakuna jamii au jumuia inayokubali wasaliti. Cha msingi ni kuwa zzk apewe haki ya kusikilizwa na kujitetea na hatua zingine zifuate.

Sawasawa kabisa, hata uliyoyaandika hapo juu nayo ni kwa mujibu wa mtazamo wako. Kumbuka kuwa akina ZZK, Kitila na Mwigamba walivuliwa nafasi zao za uongozi ndani ya chama KABLA hata ya kupewa nafasi za kusikilizwa. Na kwa maana hiyo na MBOWE inatakiwa afukuzwe kwenye nafasi ya uongozi bila hata ya kusikilizwa baada ya KASHIFA nyingi dhidi yake KUIBULIWA. Nionavyo mimi kashfa ya Mbowe ni kubwa kuliko hata ya akina ZZK ya kupanga mkakati wa kugombea uongozi -kwanza hii haifai hata kuitwa kashfa labda kwenye chama kama CHADEMA chini ya utawala wa Mbowe.
 
Naunga mkono post yako hizo ndizo busara za wenye akili na kukaa kimya pia upande mwingine huashiria mambo mazito yanataka tafakuri
 
Ma ccm mmekatazwa na nani kuendelea na ccm lenu mmekalia CHADEMA kutwa kucha!Nasema tena nasisitiza walichelewa kuwang'oa hao wasaliti hata kama mtawalilia haisaidii

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Nadhani mtoa hoja tungekupongeza sana kama ungekuja na njia mbadala ya kushugulikia chanzo cha mgogoro ndani ya CHADEMA; ambao kila mmoja anatambua kuwa ni "usaliti" wa ndg Zitto ndani ya chama.

Wewe kama mtu mwenye akili, weledi na busara ni vizuri kushauri bila upendeleo ili kukinusuru chama; ila ni wazi kabisa kwamba dawa pekee ya usaliti ni kutimua.

Huwezi kuvumilia pale unapo hujumiwa. Ushahidi wa kutosha uko wazi jinsi Zitto alivyo tumiwa na wabaya wa CHADEMA ili aue chama.

Kama naye alikuwa na tuhuma dhidi ya Mbowe, mbona kakaa kimya siku zote aje kufunguka leo baada ya kuchinjiwa baharini? Si angeongea mapema akiwa bado na heshima zake ndani ya chama ili watu wamwelewe na kuchangia hoja?

Kumbukeni Zitto analeta janja ya kuku kuwa na nguvu nyingi z kutaka kuruka na kukimbia mara tu akishakatwa kichwa.
kukaa kwake kimya inaonesha busara ya hali ya juu kwa kiongozi na alijua kufanya hivyo ni kukiua chama, ndo maana akaamua atumie njia mbadala ya kumuondoa mhusika bila kumchafua kupitia kapu la kura. huelewi nini sasa hapo? just a common sense.
 
Huyu ZZ ni papai lisilo na mbegu,kwanini? akitaka asome asipotaka aache pia huyu msomi asiyejitambua

1.Ajikwezaye hushushwa na ajishushaye ukwezwa (Biblia)
2.Wanasema ukishindwa ndoa kama una akiri timamu madhaifu ya ndoa kamwe yabaki ni siri yenu ..si busara wala hekima popote pale ukaanze kumsema kasoro za uliyeachana naye,ni utahira tena kwa msomi huyu ni papai(yawezekana ndo maana hajaoa ndo chanzo cha kijana huyu kukosa busara ktk jamii)
3.Siasa si uadui kamwe kama anavyofanya (ajifunze kijana huyu)
 
Leo anayasema haya kwasababu katoka CDM, kwahiyo anamaanisha huko aendako siku nako akiondoka atahara tena kama alivyoondoka CDM?

Na kwa mfano leo CDM wakasema tumeamua kusamehe ya Zitto , je, atarudi ama hatarudi? si ndo anachokipigania? na akifika huko atasema niliamua kumwaga mboga? wenye busara kamwe huwa hawamwagi mboga ndo maana tunamlaumu Pinda alipomwaga mboga kusema "wapigwe". Learn ZZK.
 
Huyu ZZ ni papai lisilo na mbegu,kwanini? akitaka asome asipotaka aache pia huyu msomi asiyejitambua

1.Ajikwezaye hushushwa na ajishushaye ukwezwa (Biblia)
2.Wanasema ukishindwa ndoa kama una akiri timamu madhaifu ya ndoa kamwe yabaki ni siri yenu ..si busara wala hekima popote pale ukaanze kumsema kasoro za uliyeachana naye,ni utahira tena kwa msomi huyu ni papai(yawezekana ndo maana hajaoa ndo chanzo cha kijana huyu kukosa busara ktk jamii)
3.Siasa si uadui kamwe kama anavyofanya (ajifunze kijana huyu)

Mungu akusamehe bure, sidhani kama unajua unachokiandika. Aliyekwambia kuwa mwanachama wa chama fulani ni NDOA nani? Kwamba ulitaka ZZK akae kimya ili madudu ya akina Mbowe yaendelee tu kwa faida yenu? Anayefanya uadui ni nani? Yule anaye panga mkakati wa kuogombea nafasi kihalali ili kumuondoa anayefanya madudu ama ni yule anayemfukuza huyu anayepanga mkakati halali?
 
Ni Lazima niseme ukweli kuwa CHADEMA imeyumba mno na kama jitihada za makusudi hazijafanyika basi hiki chama kinakufa rasmi.

Haya Madudu ya akina Mbowe yanayoendelea kuanikwa na kutolewa utetezi usioeleweka yananifanya mimi niliyekuwa naichukia CCM nianze kutafakari upya kwani kwa sasa SIONI TOFAUTI YA CCM na CHADEMA (na huenda CHADEMA wanaweza kuwa hatari zaidi).

Nimefuatilia kiasi kauli za wabunge wa CHADEMA [ambao ndiyo wanafahamika sana] wakiongea kuhusu swala la Kitila, ZZK, Mwigamba -kwa kweli nimesikitika sana. Nimesikitika kwa kuwa mwanzoni niliwaona wabunge hawa kuwa vichwa ila kwa sasa nawaona viumbe hatari sana.

Ukiachilia mbali mbunge Lema ambaye yeye amekuwa haeleweki vema kwenye baadhi ya kauli zake kwa muda mrefu sasa, Mnyika, Mch. Msigwa na Lissu kwa kweli wameharibu CV zao vibaya mno kwa utumbo waliouongea kuhusiana na mgogoro unaofukuta Chadema. Sikuamini mtu kama Mnyika, Msigwa na Lissu wanaweza ku-support udikteta wa akina Slaa na Mbowe (na wengine wote) wa kuwaona wahaini watu ambao wanamawazo mbadala wa namna ya kumpata kiongozi wa chama. Mnyika ndo niliyekuwa namwamini sana lakini naye kajitosa kwenye siasa za ki-imla hata sijui kwa sababu gani.

Naomba nichukue fursa hii kuwapongeza wabunge na wanachama mahsusi wa Chadema ambao at least wameonyesha akili kwa kukaa kimya.

Ndiyo, pamoja na kwamba kukaa kimya wakati madudu yanaendelea ni unafiki, lakini ni heri ukae kimya uonekane una-akili kuliko kuongea ku-support madudu. Pongezi hizi ziende kwa Mbunge Joshua Nassari, Mbunge Halima Mdee, Wakili Mabere Marando, Prof. Safari na wengine wote ambao wamesahaulika wakati wa kutoa maoni haya.

UPDATES

Wakili Mabare Marando na Prof Safari nimewatoa rasmi kwenye list ya kupongezwa baada ya kusoma gazeti la Mtanzania wakisema wanaunga mkono maamuzi ya kamati kuu ya Chadema kwa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya wale wanaoitwa wahaini. Vituko havitaisha Tanzania!

Swala la chadema kuyumba sikweli ni propaganda zako sasa kama kudhibiti wahaini wasaliti tena kwa ushahidi wa waziwazi ni udictetor basi huyo Zitto na genge lake la wahuni waje kwenu magamba ambo nyinyi si madictetor wayafanye hayo uone kama watapona.
 
Wachache sana wenye uwezo wa kuelewa mambo kwa kina wanafahamu kinachoendelea ndani ya cdm. Vita vikali kati ya demokrasia yakweli na uhafidhina.

Kukaa kwangu kimya, kunatokana na kuamini kuwa viongozi wa sasa wa cdm hawana tofauti yoyote na viongozi wa ccm.

Ni ufisadi mtupu, uhuni na uporaji wa wake za watu, kupiga vita mawazo mbadala yenye tija na mwelekeo wa kuleta demokrasia ndani ya chama huku wakiendelea kudanganya watanzania masikini kuwa ndio chama cha ukombozi.

Ndugu mtanzania amini toka moyoni kuwa hakuna chama chochote cha kisiasa mpaka wakati huu, hapa Tanzania kilicho tayari kukukomboa. Pambana kwa kadri uwezavyo lakini tumaini lako lisiwe kwenye chama chochote.

Vyama vyote ni njaa tu. Wote wachumia tumbo. Na ukigusa kwenye masilahi yao lazima wakumalize.
Wewe ni nani humo au kati ya waliotajwa unayeogopa kumalizwa kwa uhalisia unalinda maslahi yako?
 
chadema, haifiiii hata siku moja

Wala hakuna mtu mwenye akili timamu anayetaka ife, ila kwa madudu yanayoendelea ndani ya chama na ushabiki wa kiji-nga wa wanachama wake mbumbumbu na viongozi wenye shule ndogo basi hapo chama kitakufa tu.
 
Huyu ZZ ni papai lisilo na mbegu,kwanini? akitaka asome asipotaka aache pia huyu msomi asiyejitambua

1.Ajikwezaye hushushwa na ajishushaye ukwezwa (Biblia)
2.Wanasema ukishindwa ndoa kama una akiri timamu madhaifu ya ndoa kamwe yabaki ni siri yenu ..si busara wala hekima popote pale ukaanze kumsema kasoro za uliyeachana naye,ni utahira tena kwa msomi huyu ni papai(yawezekana ndo maana hajaoa ndo chanzo cha kijana huyu kukosa busara ktk jamii)
3.Siasa si uadui kamwe kama anavyofanya (ajifunze kijana huyu)

Uadui wameuanza ma bwana zako mbowe tundu na padri
 
Ni Lazima niseme ukweli kuwa CHADEMA imeyumba mno na kama jitihada za makusudi hazijafanyika basi hiki chama kinakufa rasmi.

Haya Madudu ya akina Mbowe yanayoendelea kuanikwa na kutolewa utetezi usioeleweka yananifanya mimi niliyekuwa naichukia CCM nianze kutafakari upya kwani kwa sasa SIONI TOFAUTI YA CCM na CHADEMA (na huenda CHADEMA wanaweza kuwa hatari zaidi).

Nimefuatilia kiasi kauli za wabunge wa CHADEMA [ambao ndiyo wanafahamika sana] wakiongea kuhusu swala la Kitila, ZZK, Mwigamba -kwa kweli nimesikitika sana. Nimesikitika kwa kuwa mwanzoni niliwaona wabunge hawa kuwa vichwa ila kwa sasa nawaona viumbe hatari sana.

Ukiachilia mbali mbunge Lema ambaye yeye amekuwa haeleweki vema kwenye baadhi ya kauli zake kwa muda mrefu sasa, Mnyika, Mch. Msigwa na Lissu kwa kweli wameharibu CV zao vibaya mno kwa utumbo waliouongea kuhusiana na mgogoro unaofukuta Chadema. Sikuamini mtu kama Mnyika, Msigwa na Lissu wanaweza ku-support udikteta wa akina Slaa na Mbowe (na wengine wote) wa kuwaona wahaini watu ambao wanamawazo mbadala wa namna ya kumpata kiongozi wa chama. Mnyika ndo niliyekuwa namwamini sana lakini naye kajitosa kwenye siasa za ki-imla hata sijui kwa sababu gani.

Naomba nichukue fursa hii kuwapongeza wabunge na wanachama mahsusi wa Chadema ambao at least wameonyesha akili kwa kukaa kimya.

Ndiyo, pamoja na kwamba kukaa kimya wakati madudu yanaendelea ni unafiki, lakini ni heri ukae kimya uonekane una-akili kuliko kuongea ku-support madudu. Pongezi hizi ziende kwa Mbunge Joshua Nassari, Mbunge Halima Mdee, Wakili Mabere Marando, Prof. Safari na wengine wote ambao wamesahaulika wakati wa kutoa maoni haya.

UPDATES

Wakili Mabare Marando na Prof Safari nimewatoa rasmi kwenye list ya kupongezwa baada ya kusoma gazeti la Mtanzania wakisema wanaunga mkono maamuzi ya kamati kuu ya Chadema kwa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya wale wanaoitwa wahaini. Vituko havitaisha Tanzania!

MNYIKA anasikitisha zaidi-eti leo katoa tamkoa kuhusu uongo wa MUHONGO-waangalizi wa mambo wakasema dogo ukabila umebobea pale, MENGI kaanza kumtumia-generally Wabunge wetu shughuli inayowalipa zaidi ni KUTUMIKA kuliko posho
 
Swala la chadema kuyumba sikweli ni propaganda zako sasa kama kudhibiti wahaini wasaliti tena kwa ushahidi wa waziwazi ni udictetor basi huyo Zitto na genge lake la wahuni waje kwenu magamba ambo nyinyi si madictetor wayafanye hayo uone kama watapona.

Kwa akili zako wewe unaona hicho kilichofanywa na akina Zito ni uhaini? seriously? Eeee Mungu katuumba tofauti aiseeee! Na hayo ya ufujaji wa mali za chama ya Slaa na Mbowe tuyaite nini? Hivi inamaana hata hufahamu maana ya neno KUYUMBA mpaka useme CHADEMA haijayumba? Mimi niendeshe propaganda dhidi ya Chadema nifaidi nini? Ifike wakati nyie wanachama ama wapenzi wa Chadema wenye shingo ngumu muanze kupima nguvu ya hoja kabla ya kufyatuka na kutetea uovu mkidhani kila anayeandika dhidi ya chama chenu ni CCM. Kwa taarifa yako Niichukiavyo CCM ndivyo niichukiavyo Chadema. Wote wale wale tu.
 
Katibu mkuu wako ameoan lini? Na umri ule bado anazini tu tena amenyang'anya mke wa mtu. Mapenzi gani ya kipumbavu uliyonaye kwa slaa. Mkiguswa kwa slaa tu mnalalamika, watu wakihoji elimu yake ya udaktari wa kikatoliki usiotambulika kimataifa mnamtetea. Hivi wewe kwenye kwa akili zako unaweza ukafananisha ufahamu wa zito na hao mafisadi wenu wakina slaa na mbowe.

huyu zz ni papai lisilo na mbegu,kwanini? Akitaka asome asipotaka aache pia huyu msomi asiyejitambua

1.ajikwezaye hushushwa na ajishushaye ukwezwa (biblia)
2.wanasema ukishindwa ndoa kama una akiri timamu madhaifu ya ndoa kamwe yabaki ni siri yenu ..si busara wala hekima popote pale ukaanze kumsema kasoro za uliyeachana naye,ni utahira tena kwa msomi huyu ni papai(yawezekana ndo maana hajaoa ndo chanzo cha kijana huyu kukosa busara ktk jamii)
3.siasa si uadui kamwe kama anavyofanya (ajifunze kijana huyu)
 
Back
Top Bottom