Wenje na ziara yake

Kifai

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
816
172
Jamani nijulisheni baada ya wenje jana kuwa wilayani bukoba na kumwaga sumu ya nguvu kwa watu wa bukoba, je leo anaelekea wapi? Ni lini atapita huku biharamulo na geita?? Natanguliza shukrani zangu
 
Kamanda baada ya ziara ya wenje Bukoba mjini jana leo wanaelekea wilayani Muleba ambapo watakuwa na mikutano mikuu ya hadhara mitatu kwenye vituo vya muhutwe, Makongora na Ntakatanga. Kesho watakuwa biharamulo kwa siku mbili hatmaye waningia Geita, sengerema, Jijijini Mwanza na kumalizia Ukerewe. naomba kuwasirisha
 
Peoplessssssssssssssssssssssssssssssss, hakuna .......mpaka...............sema mpaka walale wao na wakilala wengine wanawalalia.................................juujuu
 
Back
Top Bottom