WENJE MB(CHADEMA) kunguruma LEO MWANZA

pole ritz mkutano haufanyiki bugarika bali sahara katikati ya jiji tatizo ukiona chadema presha inashuka hadi zero halafu macho hayaoni vizuri
Ahahahahah!! Nimecheka sana kwa kukusaidia tu. apo kwenye uwanja Sahara pembeni yake kuna shule ya msingi Bugarika..ukikaa apo shuleni unaona huo mkutano.teh teh teh..

msisahau na picha jamani maana humu ndani ya jf kina Thomaso wapo wengi

Huyu Mkenya ana jipya watu wameishamchoka na porojo zake. Tena Machinga na kina Mama lishe hawataki hata kumuona.

Ndio maana huo mkutano unafanyika Bugarika, kwa wale ambao hawaijui Mwanza eneo la Bugarika wanakaa wageni kutoka Kenya, Mara, Tarime, Sirali, Nyamongo, huo ndio ukweli kwa mfano Dar es Salaam kila sehemu na watu wake, maeneo ya Kisutu mpaka Posta wakaa Wahindi, Kimara Bonyokwa, Kimara Temboni, Wanakaa Wachagga

Wewe ni mpuuzi (kenge) kwani umekariri bugarika wakati mkutano uko kwenye viwanja vya sahara na ndo katikati ya jiji! Acha upotoshaji kisa umepewa hela na Nape hata jana ulidanganya kuhusu matukio ya Igunga!

Naona Masha kabadili fb yake katoa neno Waziri wa Mambo ya ndani! Hivi nani anajuwa Masha ni mtu wapi wakuu.

Maana toka nizaliwe sijawai kuona wizara ya Mambo ya Ndani kapewa Mtanganyika hata siku moja! Kama Masha atakuwa Mtanganyika basi atakuwa wa kwanza!

Wewe ni mpuuzi (kenge) kwani umekariri bugarika wakati mkutano uko kwenye viwanja vya sahara na ndo katikati ya jiji! Acha upotoshaji kisa umepewa hela na Nape hata jana ulidanganya kuhusu matukio ya Igunga!
Mkuu, taratibu labda nikuulize uwanja wa Shahara upo kitongoji gani apo Mwanza?

Wewe muongo sana, mimi nipo Mwanza hapa na hakuna mkutano wowote wa Chadema unaotarajia kufanyika.

Mabwabwa wa magamba mtanyosha tu maelezo picha zikianza kuporomoka hapa jamvini kama ilivyokuwa igunga. Kamwe hamtaweza kuzima popularity ya Chadema mapaka mnaingia kaburini 2015.

Wewe utachekwa na wenzako hata Bugarika kwenyewe upajui, ngoja nikufahamishie Bugarika ilivyo uwanja wa Sahara upo barabara ya pamba, eneo la Bugarika unachukuwa sahara yote milima yote mpaka Bugando yote hayo na maeneo ya Bugarika. Ambapo wakazi wake wengi ni Wakenya na Washashi, uwezi kukuta msukuma anakaa Bugarika..ID yako tu wewe ni Mkulya wa Shirati

kuna siku Ritz ulinishambulia sana huku ukijitapa kuwa wewe ni mtu mzima sasa mbona fikra zako ni ya kipuuzi sana? Umekomaa Wenje ni mkenya sasa unataka watu wote wakujue kuwa wewe ni mpuuzi kwa kiwango gani?! Haya Wenje ni mkenya,kama ndio hauoni kuwa serikali ya chama chako ndio ya kipuuzi? Kwanin imruhusu mkenya agombee ubunge? Kwakweli unajidhalilisha sana na hakika hata hao watoto wako wangekuwa wanajua upuuzi unaochangiaga humu jamvini wangekuwa wamekudharau kwa kiwango cha kutisha!

• Thanks
Reactions: LAT
uwanja umependeza na bado raia wanaingia. Natumia phone so kama kuna mwana jf mwenye uwezo aweke picha ili kutoa fuja za wazushi umu ndani.

kuna siku Ritz ulinishambulia sana huku ukijitapa kuwa wewe ni mtu mzima sasa mbona fikra zako ni ya kipuuzi sana? Umekomaa Wenje ni mkenya sasa unataka watu wote wakujue kuwa wewe ni mpuuzi kwa kiwango gani?! Haya Wenje ni mkenya,kama ndio hauoni kuwa serikali ya chama chako ndio ya kipuuzi? Kwanin imruhusu mkenya agombee ubunge? Kwakweli unajidhalilisha sana na hakika hata hao watoto wako wangekuwa wanajua upuuzi unaochangiaga humu jamvini wangekuwa wamekudharau kwa kiwango cha kutisha!
NDOFU,
Mimi sio CCM kwanza tambua hivyo. Mimi sio mtumwa wa vyama vya siasa

Huyu Mkenya ana jipya watu wameishamchoka na porojo zake. Tena Machinga na kina Mama lishe hawataki hata kumuona.
Ndio maana huo mkutano unafanyika Bugarika, kwa wale ambao hawaijui Mwanza eneo la Bugarika wanakaa wageni kutoka Kenya, Mara, Tarime, Sirali, Nyamongo, huo ndio ukweli kwa mfano Dar es Salaam kila sehemu na watu wake, maeneo ya Kisutu mpaka Posta wakaa Wahindi, Kimara Bonyokwa, Kimara Temboni, Wanakaa Wachagga

mkuu wakweree wanapatikana mitaa ipi,tupatie na makabila mengine mkuu

puuzi la jf ..... teh teh teh
LATIFA.
Sichoki kukufundisha ukianza kuandika unatakiwa uanze na herufi kubwa kwa mfano.
Puuzi..hapa sawa..
puuzi..hapa umekosa.
Teh teh teh teh

NDOFU,
Mimi sio CCM kwanza tambua hivyo. Mimi sio mtumwa wa vyama vya siasa

Sasa mbona uko humu unakimbizana kupinga mambo ya chadema, yanakuhusu nini sasa, kaa kimya waache wanaume wajadiliane mambo yao yanakuwashia nini. Utafikiri kiananihiiiiiii

Huyu Mkenya ana jipya watu wameishamchoka na porojo zake. Tena Machinga na kina Mama lishe hawataki hata kumuona.

Ndio maana huo mkutano unafanyika Bugarika, kwa wale ambao hawaijui Mwanza eneo la Bugarika wanakaa wageni kutoka Kenya, Mara, Tarime, Sirali, Nyamongo, huo ndio ukweli kwa mfano Dar es Salaam kila sehemu na watu wake, maeneo ya Kisutu mpaka Posta wakaa Wahindi, Kimara Bonyokwa, Kimara Temboni, Wanakaa Wachagga

Hivi wewe hunakazi? au magamba wanakulipa wacha ujinga wewe

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom