WENJE MB(CHADEMA) kunguruma LEO MWANZA

Huyu Mkenya ana jipya watu wameishamchoka na porojo zake. Tena Machinga na kina Mama lishe hawataki hata kumuona.
Ndio maana huo mkutano unafanyika Bugarika, kwa wale ambao hawaijui Mwanza eneo la Bugarika wanakaa wageni kutoka Kenya, Mara, Tarime, Sirali, Nyamongo, huo ndio ukweli kwa mfano Dar es Salaam kila sehemu na watu wake, maeneo ya Kisutu mpaka Posta wakaa Wahindi, Kimara Bonyokwa, Kimara Temboni, Wanakaa Wachagga

We Mwanza unayoiongelea itakua ya Kenya maana Uwanja wa Sahara ni uwanja wa wazi uliopo kati kati ya jiji,karibu kabisa na Makoroboi ambayo ndo nguzo kuu ya wamachinga na Sahara kuna kituo kikubwa cha daladala zitokazo Igoma/Buzuruga BusStand zinaelekea Nyegezi Bus Stand na kuna mamantilie wengi tu pale sasa ka hawamhitaji kwa nini afanyie kwenye nguzo kuu ya wamachinga na mamantilie?Toka hapa.

e

sura yako inaonesha ni aged sana wewe. umri wako 55-75yrs. kumponda wenje sikushangai kwani wewe ni kati ya wajinga wachache wanaoamini wamezaliwa na CCM, wamelelewa na CCM na mtazeekea CCM.

WENJE pamoja na kwamba ni mbunge wa wote hapa Nyamagana, lakini pia anawakilisha kundi la vijana ambao tumechoka na udhalimu, wizi, unafiki na uchu wa madaraka wa CCM.

Kama umemchoka wenje ni wewe na uzee wako, wala hata hutuathiri vijana wa kitanzania tuliochoshwa na UFISADI WA CCM, bali tunaendelea kukuhesabia siku tu ufe ili kura za CCM zipungu.

wenje fanya mambo, nitakuwepo hapo kuhakikisha amani inatawala.

• Thanks
Reactions: LAT
Huyu Mkenya ana jipya watu wameishamchoka na porojo zake. Tena Machinga na kina Mama lishe hawataki hata kumuona.

Ndio maana huo mkutano unafanyika Bugarika, kwa wale ambao hawaijui Mwanza eneo la Bugarika wanakaa wageni kutoka Kenya, Mara, Tarime, Sirali, Nyamongo, huo ndio ukweli kwa mfano Dar es Salaam kila sehemu na watu wake, maeneo ya Kisutu mpaka Posta wakaa Wahindi, Kimara Bonyokwa, Kimara Temboni, Wanakaa Wachagga

acha ujinga ww, ata mkutano unapofanyika ujui alafu unabwabwaja ma upupu yako, sahara iko bugarika? Nadhani we ni mgeni Mwanza.

Mkuu tatizo lako ni nini haswa kinachokusibu kwa huyu bwana???

My Take;

Katika hili usiwapotoshe wana mwanza wana tupwisa lindanda wana wa Rock City, Tatizo kubwa ni kuwa hatupendi kuona mabadiliko yakitokea katika JIJI mipango miji ndio au iko katika sera za CDM lazima kwanza kurekebisha makazi ya watu na shughuli zao sio mwaenda jazana hako sokoni mpaka nje huko kwenye stand ya vidaladala ati mwasema mwataufa ridhiki!!! Lazima kuwepo na utaratibu wa JIJI kuwa na hadhi yake sio kila mahali ni pa Biashara toeni huo ulimbukeni lazima tujua jinsi ya kuyatunza mazingira tunayo ishi ndugu zangu wana mwanza.

Utaratibu ni kubuni maeneo mapya kwa ajiri ya wakazi wa jiji la Mwanza kama ni Nyamanoro basi soko lililopo liboroshwe ili liweze kukidhi wakazi wa eneo hilo na ndivyo hivyo kwa watu wa kirumba,Ghana,Kitangiri,Bwiru,Pansiasi,Nyakato,Nyegezi,Mlango mmoja,Mabatini, na kwingineko ili kuwepo na hadhi ya maeneo yetu tuwapawao wananchi kuendeleza biashara zao. Wananchi twatakiwa kuwapa moyo hawa madiwani/wabunge wetu wanaotujari kwa maendeleo na sio watudanganye hapo mkatae tusiingize chuki binafsi na ukabira hapo, Unaposema katokea kenye sasa hapa nyie wana mwanza tulikuwa wapi kukimbilia kuchukuwa nafasi ya ubunge nyie watu wa bugando, Isamilo,Capri-Point ,Uhuru Nyegezi mlikuwa wpi si mlijifanya mko CCM sasa yakowapi kuna akina Teffe hapa kuna akina Yanga yanga, kuna akina Mafutaaa, kuna akina Bajubeli, yani kuna watu wengi wakuwa taja ila basi tu, tusipende kukimbia kulaamu tuangalie wapi pa kulaumu muda huu ni wamabadiliko tubadilike unamaoni nenda hapo Ghandi Hall kwa office za mbunge nini tatizo lako wakilisha hapo

Huyu Mkenya ana jipya watu wameishamchoka na porojo zake. Tena Machinga na kina Mama lishe hawataki hata kumuona.
Ndio maana huo mkutano unafanyika Bugarika, kwa wale ambao hawaijui Mwanza eneo la Bugarika wanakaa wageni kutoka Kenya, Mara, Tarime, Sirali, Nyamongo, huo ndio ukweli kwa mfano Dar es Salaam kila sehemu na watu wake, maeneo ya Kisutu mpaka Posta wakaa Wahindi, Kimara Bonyokwa, Kimara Temboni, Wanakaa Wachagga
wewe inaonekana mafisadi ndo wanakuweka town. Unafikiri kupitia masaburi

Achaneni na huyo mpuuzi anawapotezea munkari wa kuchangia,tujuze jamaa ameanza mkutano?

Ule mkutano uliokuwa unasubiriwa kwa hamu na wananchi wa Jiji la Mwanza hususani wakazi wa manispaa ya Nyamagana unakaribia kuanza watu wanaendelea kuja kwa wingi...Karibuni Nitarudi....

Huyu Mkenya ana jipya watu wameishamchoka na porojo zake. Tena Machinga na kina Mama lishe hawataki hata kumuona.
Ndio maana huo mkutano unafanyika Bugarika, kwa wale ambao hawaijui Mwanza eneo la Bugarika wanakaa wageni kutoka Kenya, Mara, Tarime, Sirali, Nyamongo, huo ndio ukweli kwa mfano Dar es Salaam kila sehemu na watu wake, maeneo ya Kisutu mpaka Posta wakaa Wahindi, Kimara Bonyokwa, Kimara Temboni, Wanakaa Wachagga

Wewe Ritz ubongo wako umechoka, ondoa upupu wako hapa. Inakuaje mkenya apitishwe na tume ya uchaguzi agombee ubunge?? Wewe una akili kuliko tume ya uchaguzi??

Acha kuandika upuuzi hapa, watu makini tupo hapa kusahihisha usijepotosha watu. Kama umelipwa na NEPII uje kujamba hapa potea.

Mbona Mkapa ni Mtu wa msumbiji??

acha ujinga ww, ata mkutano unapofanyika ujui alafu unabwabwaja ma upupu yako, sahara iko bugarika? Nadhani we ni mgeni Mwanza.
Wewe utachekwa na wenzako hata Bugarika kwenyewe upajui, ngoja nikufahamishie Bugarika ilivyo uwanja wa Sahara upo barabara ya pamba, eneo la Bugarika unachukuwa sahara yote milima yote mpaka Bugando yote hayo na maeneo ya Bugarika. Ambapo wakazi wake wengi ni Wakenya na Washashi, uwezi kukuta msukuma anakaa Bugarika..ID yako tu wewe ni Mkulya wa Shirati

Huyu Mkenya ana jipya watu wameishamchoka na porojo zake. Tena Machinga na kina Mama lishe hawataki hata kumuona.
Ndio maana huo mkutano unafanyika Bugarika, kwa wale ambao hawaijui Mwanza eneo la Bugarika wanakaa wageni kutoka Kenya, Mara, Tarime, Sirali, Nyamongo, huo ndio ukweli kwa mfano Dar es Salaam kila sehemu na watu wake, maeneo ya Kisutu mpaka Posta wakaa Wahindi, Kimara Bonyokwa, Kimara Temboni, Wanakaa Wachagga

pole ritz mkutano haufanyiki bugarika bali sahara katikati ya jiji tatizo ukiona chadema presha inashuka hadi zero halafu macho hayaoni vizuri

We Mwanza unayoiongelea itakua ya Kenya maana Uwanja wa Sahara ni uwanja wa wazi uliopo kati kati ya jiji,karibu kabisa na Makoroboi ambayo ndo nguzo kuu ya wamachinga na Sahara kuna kituo kikubwa cha daladala zitokazo Igoma/Buzuruga BusStand zinaelekea Nyegezi Bus Stand na kuna mamantilie wengi tu pale sasa ka hawamhitaji kwa nini afanyie kwenye nguzo kuu ya wamachinga na mamantilie?Toka hapa.
Ebu acha upotoshaji Makoroboi na uwanja Sahara havipo karibu.
Makoroboi ipo Nyerere road, wakati Sahara ipo Pamba road, labda ungesema Sahara ipo karibia na Standi kuu ya Mabasi, Tanganyika basi

Ule mkutano uliokuwa unasubiriwa kwa hamu na wananchi wa Jiji la Mwanza hususani wakazi wa manispaa ya Nyamagana unakaribia kuanza watu wanaendelea kuja kwa wingi...Karibuni Nitarudi....

Wewe muongo sana, mimi nipo Mwanza hapa na hakuna mkutano wowote wa Chadema unaotarajia kufanyika.

Back
Top Bottom