kanda ya victoria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa CHADEMA kanda ya Victoria, Zacharia Obadi akamatwa na polisi usiku wa manane

    Kwa nini wasimkamate mchana?👇 Katibu wa Kanda ya Victoria, ndugu Zacharia Thomas Obadi, amekamatwa na watu waliofika nyumbani kwake saa nane usiku na kuanza kugonga mlango. Hata hivyo, mlango haukufunguliwa hadi ilipofika saa tisa usiku, ndipo walipokuja na Mwenyekiti wa mtaa na kujitambulisha...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Vijana kanda ya Victoria, Fred Masele anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za Uchochezi

    Mwenyekiti wetu wa Vijana kanda ya Victoria, Fred Masele anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za Uchochezi, tumekwenda kumwona Polisi Central Kirumba. Tumefika majira ya saa Kumi na mbili na nusu tukiwa na mama na baba yake mzazi Mzee Masele, Mkurugenzi wa mafunzo na Uenezi Stephen Odipo...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Chama changu cha zamani kimebaki kama NGOs

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje, amesema kuwa Chama Chake Cha Zamani Kwa sasa ni kimebaki kama NGOs Wenje ameyasema hayo Leo Oct 16,2025 katika Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mkoani Kagera kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za...
Back
Top Bottom