Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,218
ooooh! kumbe ndo maana alipeleka wasanii kule kumsaidia mjomba wake! kumbe ndo maana pia wakati wa uchaguzi wa kenya alienda kupiga kura kule!
Hivi Mchaka Mchaka una taarifa kuwa huku Avetari yako inatumika kinyume na kawaida?...au ni wewe mwenyewe!Jitahidi kupika propaganda upate kitu pale Lumumba
Mkuu umesahau garasha lingine, JOSEPH MBILINYI a.k.a Gay Jay
Wabunge wa CHADEMA siku za hivi karibuni wamekuwa kama wamechanganyikiwa vile.
Vipi vyama vya upinzani bado vya msimu? Kubalini yaishesiku zote tupo makini zaidi ya umakini wenyewe
Vipi vyama vya upinzani bado vya msimu? Kubalini yaishe
Tena wengine wapo hapa hapa kwenye huu uzi
Mkuu ukumbuke kuwa ZITTO hakubaliki na hili kundi linaloongozwa na NASSARI, WENJE, BEN SAANANE, SUGU na wengine, so Wenje alichokifanya ni kutaka kumuonesha ZITTO kuwa hawako pamoja naye.
Kama unafikiria kwa kutumia kichwa utagundua kuwa CHADEMA wanastahil PONGEZI na ukizingatia hal ya kisiasa wilayan iramba,lakin kama unafikiria kwa kutumia makalio{ashakumu si matus} utagundugua kuwa CCM wanastahil pongez.., lakn naomba nitoe daarasa kwa wale wanafikir kuwa ccm wamepata mafanikio kwenye ule uchaguz kiukwel ukifanya tasmin ya kisayans utagundua ku wa, ccm kwa mara zote wamekuwa wakishnda kwa asilimia 99.8 lkn juz wameshinda kwa asilimia 69.7, sasa sijui hi inaashiria nn.? Sasa nijukumu lako kutumia ubongo kufikiria na utagunda ni nan astahil pongez..?
Wabunge wa CHADEMA siku za hivi karibuni wamekuwa kama wamechanganyikiwa vile.
hii ni post ya lunch, watu kupata ela, hizi mada pendwa zipo nyingi siku hizi, nashauri tuweke habari za kina na zile za kuwa na tija, sasa mleta uzi unaandika mambo ya ajabu, matusi umo umo napata mashaka na upeo wako, hivi ndo lugha ya chama chenu kwenye mawasiliano? mnakera na hizi mada za dakika tano tano. nakumis sana HUTAKI HUNAACHA na wengine wenye kuweka mada za tija.
Hatimaye matokeo kamili ya uchaguzi wa vijiji na vitongoji uliofanyika wilayani Iramba yametangazwa.
Katika uchaguzi huo CHADEMA kwa mara ya kwanza ndiyo kimesimamisha wagombea karibia katika nafasi zote.
Matokeo rasmi yanaonyesha kwamba CHADEMA kwa mara ya kwanza kimeweza kupata vitongoji 2 na wajumbe wa Halmashauri za vijiji 40.Ikumbukwe kabla ya uchaguzi huu vitongoji vyote na wajumbe wote wa halmashauri za vijiji walikuwa CCM.
Pamoja na kwamba CCM iliweza kurejesha viti vya uenyekiti 8 bado wenyeviti hao wataongoza vijiji hivyo kwa mchanganyiko wa wajumbe wa CCM na CHADEMA ambapo kabla ya hapo hakukuwa na mjumbe hata mmoja wa CHADEMA.
Matokeo haya ya CHADEMA yamechangiwa na kazi kubwa iliyofanywa na Kiongozi wa kampeni Kamanda Ally Bananga.
Hivi Mchaka Mchaka una taarifa kuwa huku Avetari yako inatumika kinyume na kawaida?...au ni wewe mwenyewe!
kusoma ni desturi yangu na napenda kujisomea, ila mara yingi ni vitu vya msingi, sasa ona jinsi unavyoandika inaashiria wewe ni mtu wa namna gani. kama upo kitengo cha propaganda basi uwe unaandika kwa busara si matusi. pia mimi si mwana siasa na sina chama cha siasa. ila jifunze kuweka post za maana, usiruhusu akili yako ikatumika kupitiliza.Who are you to set rules in JF?
Inaonekana hujui broader meaning ya politics?
Sio kila kitu kwenye siasa lazima kielezee namna ya kutumia raslimali, kukuza uchumi na ajira! kuna kitu kinaitwa
propaganda, na kina kubalika kwenye siasa.
Wito wangu kwako na kwa watu wavivu wa kusoma kama wewe, huwe unakaa kimya, kuliko kuongea na kuonyesha kiasi cha upumbavu ulicho nacho.
kusoma ni desturi yangu na napenda kujisomea, ila mara yingi ni vitu vya msingi, sasa ona jinsi unavyoandika inaashiria wewe ni mtu wa namna gani. kama upo kitengo cha propaganda basi uwe unaandika kwa busara si matusi. pia mimi si mwana siasa na sina chama cha siasa. ila jifunze kuweka post za maana, usiruhusu akili yako ikatumika kupitiliza.