Wenje ajikosha bungeni!

mkuu nyie mnategemea wenje aongee nini make huo ndiyo uwezo wake umegota hapo hawezi tena kujua aongee nini.

bora angetumia dakika zote kumpongeza tu prof tibaijuka kuliko kuleta mambo ya iramba wakati wameangukia pua
 

Kujipongeza kwa chadema baada ya kukosa hata theluthi ya kura ni dalili ya kujikatia tamaa.

Chama kinachojiona kina thamani na nguvu sawa kikishindwa huona aibu. Wao wanapiga mayowe eti wameshindwa kidogo wakati hata thelithi ya kura wameshindwa kupata!!!
 

kwani molemo na ben saa nane kuna nini hapa mimi sielewi isije kuwa kuku na yai.
 

Hatimaye matokeo kamili ya uchaguzi wa vijiji na vitongoji uliofanyika wilayani Iramba yametangazwa.

Katika uchaguzi huo CHADEMA kwa mara ya kwanza ndiyo kimesimamisha wagombea karibia katika nafasi zote.

Matokeo rasmi yanaonyesha kwamba CHADEMA kwa mara ya kwanza kimeweza kupata vitongoji 2 na wajumbe wa Halmashauri za vijiji 40.Ikumbukwe kabla ya uchaguzi huu vitongoji vyote na wajumbe wote wa halmashauri za vijiji walikuwa CCM.

Pamoja na kwamba CCM iliweza kurejesha viti vya uenyekiti 8 bado wenyeviti hao wataongoza vijiji hivyo kwa mchanganyiko wa wajumbe wa CCM na CHADEMA ambapo kabla ya hapo hakukuwa na mjumbe hata mmoja wa CHADEMA.

Matokeo haya ya CHADEMA yamechangiwa na kazi kubwa iliyofanywa na Kiongozi wa kampeni Kamanda Ally Bananga.
 

Maneno ya mfa maji siku zote ndiyo haya: Kwa mara ya kwanza, subiri tukija tena, atanitambua n.k. CHADEMA mmetumia nguvu nyingi sana kwenye jimbo hili la kiboko yenu MWIGULLU, Wenje kuja na hoja kama hiyo ni kutapatapa tu, mnatakiwa mkae mtafakari na kujiuliza sababu za kugaragazwa hivyo ni nini badala ya kujifariji.
 
ni kweli mkuu, wamechanganyikiwa kweli tangia gaidi mkuu alivyokamatwa na kuwekwa ndani muda wote huu, kila kiongozi na mfuasi wa chadema amechanganyikiwa na kila mtu wanamwona ni adui wao.

Mlitaka wagomee matokeo. Ni uungwana tu kukubali yaishe.
 
kwani molemo na ben saa nane kuna nini hapa mimi sielewi isije kuwa kuku na yai.

Mbona mnajiuliza swali rahisikama hili, ina maana siku zote hamkujua kuwa Bean Saanane ndiye anatumia ID ya molemo?
 
kunawatu hata aibu hawaoni kawenje kanafurahi chadema kugongwa iramba hadi kanaipongeza ccm safi wenje.
 
Weche ajikosha bungeni!



Ndiyo nani mtu huyo?...ni wa chama gani...mi ndiyo nalisikia hilo jina leo!...tufafanulie anashughulika na nini na aliingiaje Bungeni?

mjomba wake na odinga oginga wa jaramog
 
unamaanisha ben aka chemical ally mzee wa sumu mfukoni

a aaaaaaa, kaka nakuhurumia sana, sijui kitakachokutokea ila tusubiri tu, huyu jamaa huwa hauguswi.
 
ni kweli mkuu, wamechanganyikiwa kweli tangia gaidi mkuu alivyokamatwa na kuwekwa ndani muda wote huu, kila kiongozi na mfuasi wa chadema amechanganyikiwa na kila mtu wanamwona ni adui wao.

hahaha wazee wa sumu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…