Wenje ajikosha bungeni!

Mkuu,

Hawa wananikumbusha yule mwanafunzi aliyepata F ya 18 kwenye NECTA halafu akajipongeza eti kwa kuwa kwenye mitihani ya muhula alikuwa anapata F ya below 10 na kwa kuwa alikuwa haingii darasani.

Chadema ni KITUKO...
 
Hatimaye matokeo kamili ya uchaguzi wa vijiji na vitongoji uliofanyika wilayani Iramba yametangazwa.

Katika uchaguzi huo CHADEMA kwa mara ya kwanza ndiyo kimesimamisha wagombea karibia katika nafasi zote.

Matokeo rasmi yanaonyesha kwamba CHADEMA kwa mara ya kwanza kimeweza kupata vitongoji 2 na wajumbe wa Halmashauri za vijiji 40.Ikumbukwe kabla ya uchaguzi huu vitongoji vyote na wajumbe wote wa halmashauri za vijiji walikuwa CCM.

Pamoja na kwamba CCM iliweza kurejesha viti vya uenyekiti 8 bado wenyeviti hao wataongoza vijiji hivyo kwa mchanganyiko wa wajumbe wa CCM na CHADEMA ambapo kabla ya hapo hakukuwa na mjumbe hata mmoja wa CHADEMA.

Matokeo haya ya CHADEMA yamechangiwa na kazi kubwa iliyofanywa na Kiongozi wa kampeni Kamanda Ally Bananga.
 
Suala ni kudadavua na kujipanga.
 
Kwa akili hizi walaaniwe wooote waliolegeza breki za gari lililosababisha kifo cha marehemu Regia Mtema.
 
Huyu hata kuandika hajui nafikiri katoroka chekechea na kukimbilia Lumumba,kwani huku hata usaili hakuna wanaokota watu tu mradi ana shati la kijani.

Una uwezo finyu wa kufikiri kijana!

Kati ya Lumumba (CCM) na mtaa wa Ifupa (CHADEMA) ni wapi wanapokea watu wasio elimika? Sugu ana kiwango gani? Lema je? bila kumsahau Mbowe (mr zero)?

Ukija Lumumba unapewa majukumu kulingana na uwezo wako kutokana na ujuzi (elimu ikiwa kigezo kimoja wapo kwenye nafasi za kimaamuzi), CCM ni chama cha kitaifa, kila mtu ana nafasi yake ya kiutendaji kutokana na elimu na uwezo.
 
mods tafadhali fanyeni kazi yenu.

Cc ben saanane

du, naona mkuu unanitafutia ban. Si mbaya pia najua mods watatenda haki. Halafu mbona nakala unatoa kwa ben saanane wakati mie sikumaanisha mtu huyo? Hivi kwenye jf hakuna mtu mtu anaitwa ben tofauti na ben saanane? Ila kwa kitendo chako cha kutoa nakala kwa ben saanane kuna kitu kinaclick kwenye kichwa changu. Pia nikifungiwa ndo hicho kinachoclick kitajidhihiri
 
Kitila katulia kama kamwagiwa amji ya baridi.

Kazi ya Juliana Shonza hiyo.
 
Kitila katulia kama kamwagiwa amji ya baridi.

Kazi ya Juliana Shonza hiyo.

Hatimaye matokeo kamili ya uchaguzi wa vijiji na vitongoji uliofanyika wilayani Iramba yametangazwa.

Katika uchaguzi huo CHADEMA kwa mara ya kwanza ndiyo kimesimamisha wagombea karibia katika nafasi zote.

Matokeo rasmi yanaonyesha kwamba CHADEMA kwa mara ya kwanza kimeweza kupata vitongoji 2 na wajumbe wa Halmashauri za vijiji 40.Ikumbukwe kabla ya uchaguzi huu vitongoji vyote na wajumbe wote wa halmashauri za vijiji walikuwa CCM.

Pamoja na kwamba CCM iliweza kurejesha viti vya uenyekiti 8 bado wenyeviti hao wataongoza vijiji hivyo kwa mchanganyiko wa wajumbe wa CCM na CHADEMA ambapo kabla ya hapo hakukuwa na mjumbe hata mmoja wa CHADEMA.

Matokeo haya ya CHADEMA yamechangiwa na kazi kubwa iliyofanywa na Kiongozi wa kampeni Kamanda Ally Bananga.
 
Wenzake waliotangulia kuchangia hawakugusia kabisa uchaguzi wa Iramba kwa vile wanajua yaliyowakuta yeye anatonesha vidonda.
 
CC Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
 
Kwa hiyo wewe hukutaka akipongeze?

Sio suala la kutaka au kutokutaka, suala ni je, ina maana gani kwa mshindani kujipa moyo baada ya kugaragazwa, wakati wamekuwa wakijitutumua kwa kujipambanua kuwa wanakubalika vijijini, kwa huo mradi wao wa M4C na "kijiji mpaka kijiji hadi kieleweke".
 
mkuu,

hawa wananikumbusha yule mwanafunzi aliyepata f ya 18 kwenye necta halafu akajipongeza eti kwa kuwa kwenye mitihani ya muhula alikuwa anapata f ya below 10 na kwa kuwa alikuwa haingii darasani.

Chadema ni kituko...

hahahaaaa, hakuna afadhali katika kufeli. Hata kama utapoteza point moja basi utakuwa umepoteza tu. Mkuu ze marcopolo, unakumbuka mwaka juzi jinsi yanga walitwaa ubingwa wa tanzania bara kwa tofauti ya goli moja tu baada ya kulingana point na simba? Pia unakumbuka mwaka jana man city walitwaa ubingwa wa england kwa tofauti ya magoli baada ya kulingana point na man u? Lakini wote walioshindwa mwisho wa siku walikosa ubingwa kwani katika mashindano, bingwa anakuwa mmoja tu. Ndicho kilichotokea kwa hawa vidole viwili. Wamepoteza halafu wanajifariji eti wamepata 28%
 
mkuu nyie mnategemea wenje aongee nini make huo ndiyo uwezo wake umegota hapo hawezi tena kujua aongee nini.
 
Mkuu anagalia asije akaku-ZITTO
 
Sasa wewe mleta thread unataka wabunge waseme bungeni kama wewe unavofikiri?...basi kama ndio hivo, wape kanuni...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…