Wenje aitikisa Mwanza, Mtaa wa Mabatini kazi zimesimama kwa muda

nyampanaga

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
1,104
559
Ni Mafuriko Hapa Uwanja Wa S/Msingi Mabatini.Picha Zinakuja.CCM double efforts inatakiwa kumtoa huyu dogo.
 
Ccm wanakuja sasa hivi utasikia matusi na kashfa na hivi Mzee kingunge ametoka kuwapa vipande vyao tutasikia mengi.
 
Ccm wanakuja sasa hivi utasikia matusi na kashfa na hivi Mzee kingunge ametoka kuwapa vipande vyao tutasikia mengi.

Kingunge yuko na Lowasa muda mrefu wala sio ishu mpya labda wewe ndo hujui tu. Hana cha vipande ni hela za Lowasa ndio zinamtesa tu alishavuliwa nyadhifa zote.
 
Wenje ana wiki sasa anazunguka kwa chopa..kuanzia kishiri hadi igoma..mitaa yoite kaivuruga wanaimba mabadiliko
 
Wenje ana wiki sasa anazunguka kwa chopa..kuanzia kishiri hadi igoma..mitaa yoite kaivuruga wanaimba mabadiliko

ushamba mtupu kutoka mahina hadi mabatini hadi upande helkopta? Hizo hela siangenunua madawati? Kauza clinic ya wajawazito ya makongoro kwa wahindi sasa anatapanya hela kwa kuruka na chopa.
 
Mkutano wa mbugani alimleta shilole na ngoma ya ritungu, safari hii kaona wakurya wa mabatini awazuge na chopa na vicent.

Hachomokii.
 
Mkutano wa mbugani alimleta shilole na ngoma ya ritungu, safari hii kaona wakurya wa mabatini awazuge na chopa na vicent.

Hachomokii.

Wewe unaota saa 3 asubuhi, tukutane tar 25 Oct 2015 ndipo utaona vumbi la Wenje...mwaka huu mtajitekenya sana na kucheka wenyewe, ila msikimbie baada ya matokeo...
 
Alhamisi Wenje The General alikuwa mtaani kwetu Kapripoint nyomi yake nilichoka mwenyewe.
Cha ajabu watu wengi tu wanaoendaga mikutano ya CCM siku hiyo ndo walijidhihirisha kuwa ni makamanda wakomavu.
Muhindi wa CCM anayegombea kata ya Nyamagana naye hana chake huku kwetu. Yaani nikuizika kabisa CCM mwaka huu.
 
Back
Top Bottom