maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,424
- 956
Nimeona hapa ooh, eti Magufuli kaingia biashara zimedoda? Hivi nyie ni wa nchi gani, niko Mwanza city downtown nauza magazeti na vitabu vya mapenzi vya kina Shigongo huku kwa mbali nikisindikiza na magazines kali kama newsweek ambapo huko utapata nondo kali za ki panama papers.
Kiukweli biashara imeongezeka sana tangu bwana Magufuli aingie madarakani, hela nashika sasa hivi.
Hapa kazi tu
Kiukweli biashara imeongezeka sana tangu bwana Magufuli aingie madarakani, hela nashika sasa hivi.
Hapa kazi tu