Shida yangu ndo hiyo napenda kupitiliza,ndo maana napatwa na majanga na maumivu mwisho wa siku hapa ntajitahidi nirekebishe.
Kweli ulichosema upendo wake kwangu haupo Tena,icho kisingzio kwamba yupo busy hakina maana!Namimi nimeamua uyu nae nimpotezee,maana mwanaume kulalamika lalamika kwa mwanamke huo ni Uzembe
Hata kwangu nimeamua iwe FT mkuu yan sio kuweka Tu dp bali hadi Status na makopakopa [emoji3590] ila mim ajawah nipost sema ndo hivo unapg kimya tu utafanyajehivi mnawezaje asee yani mwanamke wako anaweka picha ya mwanaume Dp na unashangaa tu yani mimi kama sio ndugu tena kwa uthibitisho hiyo ni game over hutonisikia.
Achana nae huyo hajielewi kama hata hakufichi hiyo ni level ya juu ya dharau.Hata kwangu nimeamua iwe FT mkuu yan sio kuweka Tu dp bali hadi Status na makopakopa [emoji3590] ila mim ajawah nipost sema ndo hivo unapg kimya tu utafanyaje
YEAP sasa kamepauka kama kamwagiwa vumbi la cement kipo town tangu kimalize chuo kwao kijijini hakitaki kurudiPoint taken,ko ulikawahi ukakapiga chini
Fanya kazi achana na hii fani sio saizi yako,ukipata pesa watapenda pesa zako kiliko kujifariji kuwa hawapendi pesaSijuhi na Tatizo Gani na Suala la mahusiano ya kimapenzi,maana nakumbana na changamoto kwa kiasi Kikubwa.Mwezi wa Saba tar 05 niliandika Uzi ukielezea Mkasa Wangu wa kimahusiano[emoji116]
Ukipiga simu pia apokeh,yupo online anaweka na Status ila ukimtmia sms ajibu,uyo mwana ako kama apendi kuchat ni yeye Tu,ila kusema watu awachati sidhan hata hz app wat wanaztmia kuchat sana!Unapima upendo kwa kutaftana kwenye simu!! Tatizo linaanzia hapo.
Mwanzo nilikua kama wewe, kua demu asipokujibu basi mawazo kibao.
Nikakutana na mwanangu flani yeye hajali saana mahusiano ya kwenye simu haya, nikajifunza kitu.
Hujanielewa mkuu, sio wote wanapenda hizi charting na madem wengine ukiwatext normal hawajibu, labda umtext whatsapp ndo anajibu chap.Ukipiga simu pia apokeh,yupo online anaweka na Status ila ukimtmia sms ajibu,uyo mwana ako kama apendi kuchat ni yeye Tu,ila kusema watu awachati sidhan hata hz app wat wanaztmia kuchat sana!
Nimeachwa tu apo ila text ni mtu ajibu kote kote si normal Text wala whatsapHujanielewa mkuu, sio wote wanapenda hizi charting na madem wengine ukiwatext normal hawajibu, labda umtext whatsapp ndo anajibu chap.
Ila huyo wako ni case nyingine. Ni hivi mkuu UMEACHWA.
Ukiwa na pesa mkuu.Unapata mwanamke yeyoteItabidi nipigie mstari apa kwenye Utafutaji kwamba nikiwa nayo ya kutosha hata Wewe unaweza kua Wangu
Nitatafuta muda niandike uziEbu share kidogo kaka Tuweze kujua changamoto ni Zipi