Shetan ovyo sana ndg,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kusingekuwa na vitisho kila mtu angeishi kivyake! Kungekuwa n free will na hakuna moto wengine wangemchagua kaka shetani
Wewe ni kichaaWengine hatuna tu option kulingana na vitisho tulivyopandizwa tangu utotoni ila huyu Mungu hatumpendi haswa
Kwamba?Tabu kila sehemu
Kuna vitu ukivifikiria acha tu tumepigwa
Ukiona unatishika basi jaribu kujichunguza matendo yako. Ni sawa na mvutaji wa sigara uanze kumuelezea athari za uvutaji wa sigari katika mapafu na mambo ya kansa na hatua zake hakika ni lazima atatishika hata kwenye imani ni hivyohivyo.Daah..noma sana ila kwanini kutishana kuwa kuna moto wa jehanamu.?
#MaendeleoHayanaChama
Kweli kabisa mkuumkuu kumbuka wakati Mungu anamuumba mwadamu haikuwa lengo lake mwanadamu kufa ila alimwambia utakapo kula mtu huo ni hakika utakufa.
Na mimi na wewe tunajua kabisa kuwa shetani ndio sababu ya mwanadamu kula lile tunda kwa maana yeye ndie alie washawishi hivyo ni Lucifer anapaswa kulaumiwa juu ya vifo vya wanadamu.
Uhai unampa kiburi mkuuSuburi na wewe akuondoe sasa kama alivowaondoa vipenzi wako. Uende ukakae nao huko walipo mpendane zaidi.
Mkuu moto ni kwa wale viburi kama huyu mtoa mada, Mungu ni mwema siku zoteDaah..noma sana ila kwanini kutishana kuwa kuna moto wa jehanamu.?
#MaendeleoHayanaChama
Kuna shetani pia mnaweza mpenda huyo yaani choice mnayo mbona God or devalWengine hatuna tu option kulingana na vitisho tulivyopandizwa tangu utotoni ila huyu Mungu hatumpendi haswa
Kumbuka kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kusingekuwa na vitisho kila mtu angeishi kivyake! Kungekuwa n free will na hakuna moto wengine wangemchagua kaka shetani
Cha muhimu tumuombee sana ndugu yetu, kafika katika situation ngumu sanaShetan ovyo sana ndg,
Acha tu, hana upendo hata chambe kw mwanadam,
Tuendelee kujinyenyekeza kwa Mungu,
Yu mwema kbs.
Hapana mkuu haya ni majaribu tu, kumbuka yesu alipitia makubwa zaidi ya hayaTabu kila sehemu
Kuna vitu ukivifikiria acha tu tumepigwa
Mungu hapendi kumuita hivyo binadamu mwenzako, tubuWewe ni kichaa
Amen, ama kweli hiki ndicho ulipaswa kumjibu yule bwana kwani kina barka ndani yakeKwamba?
Kama tatizo ni Hela Sasa hivi Dunia nzima inapitia kipindi kigumu kiuchumi.
Tunapaswa kuwa Na Subra. Mungu yupo Na anatupenda sana
Tunapaswa kumshukuru Kwa Kila Jambo.
Nishetani tu kampitia, shetani anatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha hafi peke yake kwenye moto wa jehanamuKwanini unatuambia sisi?
Ama unataka na sisi tumchukie?
HAIWEZEKANI
Bro ukifa utajua ukuu wa Mungu, sasa jihangaishe tu kwenye keyboard.Wengine hatuna tu option kulingana na vitisho tulivyopandizwa tangu utotoni ila huyu Mungu hatumpendi haswa