Wengi wenye majina mazuri hata kimuonekano wako wazuri

Mkuu mbona kama povu hivi.
Ila kweli kabisa, hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kitaja na kitajwa, mfano huku mtaani kwetu kuna binti wanamuita Jack kiandunje, ana umbo la pilipili kama katokea msitu wa Congo.
akiwa kwa mbali na kavaa nguo ya kijani akii unaweza tuma mtu ukasema kaniokotee ile pilipili hoho kuleeee (cheka tu,it's just a joke)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom