Wewe ndio huna sifa za kuwa kwenye ndoa unalaum wengine tu wewe sifa unazo??Hapana mkuu, ndoa za siku hizi ushenzi mtupu, ni heri kuwa bachela kuliko kujiingiza kwenye shimo la ndoa.
Wewe ndio huna sifa za kuwa kwenye ndoa unalaum wengine tu wewe sifa unazo??Hapana mkuu, ndoa za siku hizi ushenzi mtupu, ni heri kuwa bachela kuliko kujiingiza kwenye shimo la ndoa.
Wavuta bangi, mashoga na wahuni tu.Vijana wengi wa kiume waliozaliwa Sinza Dar hawaoi
Vijana wengi wakiume waliozaliwa Kaloleni Arusha hawaoi
Mkuu inaonekana wewe ndio huna sifa ya kuwa kwenye ndoa. Ndoa ni nzuri na ni raha sana.NDOA SIO SIFA MKUU NA SIJAONA UMUHIMU WAKE
USISUBUTU KUINGIA HUKO UTAJUTA KILA KUKICHA TUNAWAAMULIA KESI MARA KUCHAPIWA MARA MATATIZO MARA MKE HAPENDI NDUGU ZANGU
SIWEZI INGIA KWENYE ILO SHIMO WE TATUFA WATOTO BASI KUOA WAACHIE WALUGALUGA
NA MDA SI MREFU WATAKUJA KUJIFARIJI HAPA
Ndiyo mkuuUpande wa pili upi?? Wa welevu na wakali wa mahesabu darasani??
Halafu wanalalamika singo madhas hawaishiMkuu inaonekana wewe ndio huna sifa ya kuwa kwenye ndoa. Ndoa ni nzuri na ni raha sana.
Hao unaotaka kuwazalisha ndio utapata taabu kila siku utakuja na nyuzi humu za kulalamika.
Wape lekcha mkuu, vijana sikuhizi hawataki kuoa/kuolewa, kwa hisia zao wanaona wako sawaSijui kwanini vijana wengi siku hizi wanaona ndoa ni mkosi au balaa ? Ila mimi napenda niwaeleze tu kwamba kama Kuna jambo lenye furaha duniani no Ndoa Kama utaweza kujua siri ya ndoa ambayo ni uvumilivu lakni hayo mengine mnayoyapenda ni ushetani na ubatili mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app