Tatizo jamii ya siku hizi haijawekeza katika kuwaandaa vijana kuishi maisha ya ndoa. Na hii inapelekea vijana wengi kujikuta ndani ya ndoa bila kujua wameingia vipi.Hapana mkuu, ndoa za siku hizi ushenzi mtupu, ni heri kuwa bachela kuliko kujiingiza kwenye shimo la ndoa.
Uko sahihi kabisa mkuu. Mwanaume anahitaji heshima na unyenyekevu wa mwanamke zaidi, mengine yatafuatiaUchawi wa ndoa ni unyenyekevu tu basi.
Hao uliozungumzia hawana mambo mengi huenda wanakuwa wanyenyekevu. Unyenyekevu si udhaifu.
Mkuu umenena vyema sana, 100% correctKweli kabisa mwalimu. Waliokuwa wasichana wazuri na wenye mvuto darasani mwangu wengi wao ama hawajaolewa ama ni ma-single mother. Kumbuka karibia miaka 20 imepita sasa. Walioolewa ni wale waliokuwa wa kawaida.
Hao wanyenyekevu unawatoa wapi sasa hasa wanawake? Ukichanganya na umasikini ndoa inageuka kuwa shubiri ya maisha.Uko sahihi kabisa mkuu. Mwanaume anahitaji heshima na unyenyekevu wa mwanamke zaidi, mengine yatafuatia
Sent using Jamii Forums mobile app
Warembo wachache wenye akili ya future, wengi wanaishia kudangaNa ukweli ni kwamba, hao warembo tuliwataka sana lakini hawakutubalia. Tukaishia kwenda na wa kawaida ambao ndio wake zetu na mama wa watoto wetu leo na maisha yanaendelea.

Sawa mkuu, japokuwa mifano hai ninayo ya kutosha.Hao wanyenyekevu unawatoa wapi sasa hasa wanawake? Ukichanganya na umasikini ndoa inageuka kuwa shubiri ya maisha.
The safe ones ni wale wenye kipato cha uhakika tu time hii!
Wanaipondea ndoa, at the same time wanaihitaji kwa gharama yoyoteVigagura bado vipo mtaani![]()
Wanaipondea ndoa, at the same time wanaihitaji kwa gharama yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
NDOA SIO SIFA MKUU NA SIJAONA UMUHIMU WAKE
USISUBUTU KUINGIA HUKO UTAJUTA KILA KUKICHA TUNAWAAMULIA KESI MARA KUCHAPIWA MARA MATATIZO MARA MKE HAPENDI NDUGU ZANGU
SIWEZI INGIA KWENYE ILO SHIMO WE TATUFA WATOTO BASI KUOA WAACHIE WALUGALUGA
NA MDA SI MREFU WATAKUJA KUJIFARIJI HAPA
Mkuu kumbe ulishaharibiwa siku nyingi? Pole sana mkuu wengine tumetulia tu tunashangaa wanaolaani ndoa walipata hitilafu wapi?NDOA SIO SIFA MKUU NA SIJAONA UMUHIMU WAKE
USISUBUTU KUINGIA HUKO UTAJUTA KILA KUKICHA TUNAWAAMULIA KESI MARA KUCHAPIWA MARA MATATIZO MARA MKE HAPENDI NDUGU ZANGU
SIWEZI INGIA KWENYE ILO SHIMO WE TATUFA WATOTO BASI KUOA WAACHIE WALUGALUGA
NA MDA SI MREFU WATAKUJA KUJIFARIJI HAPA
Upande wa pili upi?? Wa welevu na wakali wa mahesabu darasani??Asilimia kubwa ya wanawake ambao nimesoma nao, shuleni hawakuwa na mambo mengi, hawakuwa na mvuto kiviile, hawakuwahi kutokea hata kwenye top 20, yaani kiujumla walikuwa washamba washamba hivi. Leo hii wapo kwenye ndoa.
Hata vijana wangu niliowafundisha, wale ambao darasani walikuwa vilaza, regardless ya personality zao. Wengi wapo kwenye ndoa.
Sijui kama wanafurahia au laah! Lakini wapo kwenye ndoa zao. Upande wa pili sasa ni balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app