Wengi wapo kwenye ndoa

Wengi wapo kwenye ndoa

Kaliculus

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2019
Posts
271
Reaction score
248
Asilimia kubwa ya wanawake ambao nimesoma nao, shuleni hawakuwa na mambo mengi, hawakuwa na mvuto kiviile, hawakuwahi kutokea hata kwenye top 20, yaani kiujumla walikuwa washamba washamba hivi. Leo hii wapo kwenye ndoa.

Hata vijana wangu niliowafundisha, wale ambao darasani walikuwa vilaza, regardless ya personality zao. Wengi wapo kwenye ndoa.

Sijui kama wanafurahia au laah! Lakini wapo kwenye ndoa zao. Upande wa pili sasa ni balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NDOA SIO SIFA MKUU NA SIJAONA UMUHIMU WAKE
USISUBUTU KUINGIA HUKO UTAJUTA KILA KUKICHA TUNAWAAMULIA KESI MARA KUCHAPIWA MARA MATATIZO MARA MKE HAPENDI NDUGU ZANGU

SIWEZI INGIA KWENYE ILO SHIMO WE TATUFA WATOTO BASI KUOA WAACHIE WALUGALUGA

NA MDA SI MREFU WATAKUJA KUJIFARIJI HAPA
 
Asilimia kubwa ya wanawake ambao nimesoma nao, shuleni hawakuwa na mambo mengi, hawakuwa na mvuto kiviile, hawakuwahi kutokea hata kwenye top 20, yaani kiujumla walikuwa washamba washamba hivi.

Leo hii wapo kwenye ndoa.
Hata vijana wangu niliowafundisha, wale ambao darasani walikuwa vilaza, regardless ya personality zao.

Wengi wapo kwenye ndoa.
Sijui kama wanafurahia au laah! Lakini wapo kwenye ndoa zao.
Upande wa pili sasa ni balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe upo kwenye nini ?
 
NDOA SIO SIFA MKUU NA SIJAONA UMUHIMU WAKE
USISUBUTU KUINGIA HUKO UTAJUTA KILA KUKICHA TUNAWAAMULIA KESI MARA KUCHAPIWA MARA MATATIZO MARA MKE HAPENDI NDUGU ZANGU

SIWEZI INGIA KWENYE ILO SHIMO WE TATUFA WATOTO BASI KUOA WAACHIE WALUGALUGA

NA MDA SI MREFU WATAKUJA KUJIFARIJI HAPA
Basi mkuu hakuna haja ya kuwasakama single mothers sasa, maana kama unazalisha bila ndoa, tokeo lake ni SINGLE MOTHER sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NDOA SIO SIFA MKUU NA SIJAONA UMUHIMU WAKE
USISUBUTU KUINGIA HUKO UTAJUTA KILA KUKICHA TUNAWAAMULIA KESI MARA KUCHAPIWA MARA MATATIZO MARA MKE HAPENDI NDUGU ZANGU

SIWEZI INGIA KWENYE ILO SHIMO WE TATUFA WATOTO BASI KUOA WAACHIE WALUGALUGA

NA MDA SI MREFU WATAKUJA KUJIFARIJI HAPA
Point mkuu
 
Kweli kabisa mwalimu. Waliokuwa wasichana wazuri na wenye mvuto darasani mwangu wengi wao ama hawajaolewa ama ni ma-single mother. Kumbuka karibia miaka 20 imepita sasa. Walioolewa ni wale waliokuwa wa kawaida.
 
Back
Top Bottom