Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,865
- 2,176
- Thread starter
- #101
Hapa zipo aina mbili yakiwa mabichi au makavu bossMachine ya kusaga magome ya miti na viungo kuwa powder unayo? Na bei ni gani? Hp ni ngapi?
Hapa zipo aina mbili yakiwa mabichi au makavu bossMachine ya kusaga magome ya miti na viungo kuwa powder unayo? Na bei ni gani? Hp ni ngapi?
Safi sanaHii utatengenezewa mkuu ni million 19-20 inasaga tone 2-4 Kwa Saa karibu tukae tukutengenezee Hii hapa chiniView attachment 1039844
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaweza niundia water pump ambayo itatumia umeme yenye sifa ya kuvuta maji Kwa wima katika kimo Cha Mita 3 na upeleka umbali wa Mita 252 kenye kamwinuko kadogo?Safi sana
Unatengenezewa boss karibu tuongeeMnaweza niundia water pump ambayo itatumia umeme yenye sifa ya kuvuta maji Kwa wima katika kimo Cha Mita 3 na upeleka umbali wa Mita 252 kenye kamwinuko kadogo?