Wengi wanaosema wapo single ni vicheche

Wengi wanaosema wapo single ni vicheche

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
Ogopa wanaojiita single,watu miaka na miaka fb au whatsapp au wapi hawana picha za wapenzi au hata za familia ili wasitoswe,ukimwuliza mtu yupo fasta kujibu yupo single ila unaona kama umri umeenda kiasi flani ukiview huoni picha ya mke au mme wake,basi hata ya mtoto.

Ogopa sana wanaojiita single ni wahuni mno unaweza kuuawa kwa rungu kwenye mapaja ya mtu.
 
hahaaaa mbavu zangu wengine nyota za bundi 40+ hajazaa wala kupata mtu unakuta akipata game moja mwenzie kapokea afanyeje aandike in a relationship?
napendaga ile 'complicated' iko ki uwindaji hivi
 
Hivi wabongo mna matatizo gani? Kwani ni lazima ujaze kila info zako Facebook? Hamjui hata kuskip?
 
Viol

Acha kukariri wengine wapo single kweli....
Ila kuna ukweli fulani kwamba sio wanaosema single wapo kweli single
Mfano unaeza kuwa kwenye relation ambayo haielewi saana soo ukipata mtu mwingine ambae anakufaa zaid lazima useme upo single....

Pia vile vile kwa boys wengi ni vigum kusema upo kwenye relation koz utakosa fulsa..he he mtoto mzur anakuuliza upo single!???nawewe unasema hapana....
 
Last edited by a moderator:
Duh....... kuanzia sasa....

I'm not single, I'm album..... baaaaasi
 
Hivi wabongo mna matatizo gani? Kwani ni lazima ujaze kila info zako Facebook? Hamjui hata kuskip?
siyo facebook tu,hata mtaani unakutana na mrembo anakuambia yupo single baadaye unakutana na balaa
 
We acha kuhangaika na Info za watu wanazoweka hadharani. Sehemu yoyote kupata up to date info ni kazi.
Au ndo unataka ukipata mpenzi tu uende kwenye sosho network zote ukaaupdate. Ukipigwa chini ukaupdate tena?
 
hahaaaa mbavu zangu wengine nyota za bundi 40+ hajazaa wala kupata mtu unakuta akipata game moja mwenzie kapokea afanyeje aandike in a relationship?
napendaga ile 'complicated' iko ki uwindaji hivi
hata kama hujazaa kama una mtu na we ni mwaminifu upo committed
 
Acha kukariri wengine wapo single kweli....
Ila kuna ukweli fulani kwamba sio wanaosema single wapo kweli single
Mfano unaeza kuwa kwenye relation ambayo haielewi saana soo ukipata mtu mwingine ambae anakufaa zaid lazima useme upo single....

Pia vile vile kwa boys wengi ni vigum kusema upo kwenye relation koz utakosa fulsa..he he mtoto mzur anakuuliza upo single!???nawewe unasema hapana....
we unadhani wanaokatwa mapu...bu na mkasi wanaingiaje mkenge
 
Back
Top Bottom