Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,220
Wengi wamekukuta njiani hawajui ulikotoka na wala hawajui njia uliyopitia hadi ukafika hapo ulipo wala hawajui unakokwenda.
Lakini wamejivika umahiri wa kukuchambua na wamegeuka watabiri wamaishayako Usitumie muda mwingi kuwafikiria, safari niyako na ni ndefu sana.
Achana na wapita njia, elekeza nguvu zako katika ndoto zako na safari yako, Mlinzi na kiongozi wako ni MUNGU, sisi wengine ni mashahidi tu.
Type Amen kama umeianza siku ya leo salama kwa uwezo wa Mungu