manka wangu badala ya kupigizana kelele zisizo na mashiko jongea kwa PM tuongee yetu.ati msichana asiye na baba ni rahisi wew shika adabu yako stor nyingne maliziaga huko kijiweni habar za kutuletea thread kama hizi ni kutukashifu mxiuuu
ww ungemalizia kbsa kusema "wengi wa hao videmu mama zao ni wamachame",usipindishe ukweli mkuu!
Nimekutana na wasichana wengi kuanzia 18+ wazuri sana.
Wanatoka kwenye familia zenye uwezo, nikitoka nao huwa naulizia wazazi wake na hunijibu kuwa baba amefariki.
Kwa kweli ni huzuni, nimeamini kuwa msichana asiye na Baba ni mwepesi sana.
Ma- huge