Wengi wajitokeza mnada wa makontena ya Makonda

Wengi wajitokeza mnada wa makontena ya Makonda

Ona madhara ya ukwepaji wa kodi,si bora angegiza kihalali kwa kupunguza inadadi ya makontena?!..Makonda ni mwanaCCM mwenzangu hasara yake hata mimi inaniuma.
 
Mtoa mada una kichwa cha panzi na unatakiwa kukumbushwa kubakiza akiba ya maneno, uchafu unaorusha kwa Makonda wewe mwenyewe utakuja kuusafisha. Kumbuka ya Lowasa.

Siku Makonda akihamia chadema atapata mapokezi makubwa
na kusafishwa kwa kila aina ya Omo na kubatizwa mleta mabadiliko wa Ufipa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
We mwehwu nini? Bashite hafai popote
 
Dk shika hayupo

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hapa kajaa tele
IMG-20180830-WA0047.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
haha haa.. Kiboko ya stori zote za kitaa, watu watajitokeza kushangaa masofa ya walimu lakini hawatanunua kwa kuogopa laana ya wasiojulikana!
Laana ilisha futwa na mtumishi wa Mungu Dr. Mpango kwa jina la kupinga ukwepaji kodi. Sorry "am a visitor here"
 
Back
Top Bottom