Si unajua tulivyo hata kuipokea Dreamliner watu walijaa lakini Wenye uwezo wa kupanda wako nyumbani.Hahaa. Wengi wao hawana hata mia mfukoni. Wamekuja kishabiki kama vile wako kwenye maonesho ya Saba saba.
Acha tu tukashuhudie ka tulivyoshuhudia dreamliner ikija
Sent using Jamii Forums mobile app