Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,556
- 7,386
Weka updatesMnada unaanza saa 4 kamili na watu wanazidi kumiminika, tutazidi kujuzana naingia ofisini kidogo hapa hapa port
Anafata wind kama Le man Mzee wa fact[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Afu wewe umesahau juzi ulikua unamsifia kuwa mtetezi wa wanyonge na kumsema Mpango kua anatumiwa kuhujumu jitihada za Mkuu wa mkoa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli ukiwa mnafiki tabu sana yana hata uliyosema Jana leo unasahau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fenicha za walimu zikishuka bandarini.Mnada unaanza saa 4 kamili na watu wanazidi kumiminika, tutazidi kujuzana naingia ofisini kidogo hapa hapa port
Fenicha za walimu ndani ya kontenaMnada unaanza saa 4 kamili na watu wanazidi kumiminika, tutazidi kujuzana naingia ofisini kidogo hapa hapa port
Weka finyango mbili tatu!
Ndo kitakafonyakinya na wacheza movie hawa Kwa mgongo wa utetezi wa wanyonge kimaneno.Mizigo waagize wao movie wachewe wao.Ukimuona baba umemuona mwana.Hili game litafanyika kwa namna hii
Yatapigwa kwa bei kubwa kiasi kwamba raia wa kawaida asiweze kununua then mkono wa baba utakuja kwa namna yake kuyachukua kwa dau kubwa then mtoto atarudishiwa mzigo wake aendelee kuchezea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa. Wengi wao hawana hata mia mfukoni. Wamekuja kishabiki kama vile wako kwenye maonesho ya Saba saba.
Vitagawiwa bure Kwa mamlaka husika zingine. Mfano wizara ya elimu wao watavipeleka mashuleni.Hivi vitu vikosa mnunuzi kwenye mnada ,ssheria za TRA zinasemaje....vinachomwa moto vinataifishwa na kugawiwa bure, ama zinakamatwa mali za aliyeagiza ili kufidia kodi hiyo !?
Kwanini hawajavigawa mashuleni kama wale samaki wa magufuli?Hivi vitu vikosa mnunuzi kwenye mnada ,ssheria za TRA zinasemaje....vinachomwa moto vinataifishwa na kugawiwa bure, ama zinakamatwa mali za aliyeagiza ili kufidia kodi hiyo !?
Mimi ningependa wafungue yote tuone ndani kuna nini maana wanasema kuna mpaka matrekta na makochi ya umeme sasa bora waweke wazi tuone ili twende tukajinunulieMnada unaanza saa 4 kamili na watu wanazidi kumiminika, tutazidi kujuzana naingia ofisini kidogo hapa hapa port
Nasubiri nyama ya mbuzi na kondoo kutoka madina baada ya hijjaMnada unaanza saa 4 kamili na watu wanazidi kumiminika, tutazidi kujuzana naingia ofisini kidogo hapa hapa port
Hi hi hii hiiiiiiiiii! Pameuma au tuendelee kusugua?Mtoa mada una kichwa cha panzi na unatakiwa kukumbushwa kubakiza akiba ya maneno, uchafu unaorusha kwa Makonda wewe mwenyewe utakuja kuusafisha. Kumbuka ya Lowasa.
Siku Makonda akihamia chadema atapata mapokezi makubwa
na kusafishwa kwa kila aina ya Omo na kubatizwa mleta mabadiliko wa Ufipa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nialike Nairobi tufungashepo kontena la walimu wa Tz. Sisi twataka wakalie sofa wawapo kwa class ati!
Naona point yako ni ya msingi kamandaHili game litafanyika kwa namna hii
Yatapigwa kwa bei kubwa kiasi kwamba raia wa kawaida asiweze kununua then mkono wa baba utakuja kwa namna yake kuyachukua kwa dau kubwa then mtoto atarudishiwa mzigo wake aendelee kuchezea
Sent using Jamii Forums mobile app
nendeni mkanunue bidhaa za mabwana zenu wanaolialia kusamehewa kodiTotally true walahi
Baba mkwe kampa mkwewe, uwiii!
That’s all
Yeah maana upepo ulikua hausomeki!!!Nadhani baada ya Magu kutoa go ahead watu Sasa wana confidence ya kwenda kununua
Sent using Jamii Forums mobile app